chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Kuna mtu anamkumbuka mwamba mmoja wa kuitwa John Kaduma?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KipepeKuna mmoja alikwa na unywele tumboni wa kutosha simkumbuki alikuwa nani
yaa alifariki nadhani kwa drug overdoseKuna mtu anamkumbuka mwamba mmoja wa kuitwa John Kaduma?.
Mapungo amekomaa wanacheza bila shati wala viatu...Nilikuwa napenda jarida moja la bush boy na town boys wanacheza mpira ..kina Mapungo
Mapungo amekomaa wanacheza bila shati wala viatu...
Najua tu jina "VISA VYA BABA UBAYA" lakini gazeti silikumbukiHuyu jamaa alikuwa gazeti gani?View attachment 1236226
Hahaha Meko mzee wa kutofunga vishikizo vya shati!!Baba ubaya alikua anachorwa na Dr Levy kwenye gazeti la kiu..majarida yaliyotikisa enzi hizo ni..
1.SANI na VISA
2.TABASAMU NA BONGO..
Ila bongo ndo kiboko unakutana na kina Juakali,Bob Mazishi,Njomba nchumari,Naitwa kiokote na wengineo mwisho kabisa kunakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya BUSH STARS NA BORN TOWN kama vile kwenye gazeti la Bongo napo kulikua na mechi hii mwisho..mechi ya Bush stars na Born town ya Bongo nilikua namkubali Bob Mazishi alikua anacheza rafu kinoma halafu refa hata hampi kadi anamuogopa mechi ya SANI nilikua namkubali Mzee Meko na shati lake alienda hadi Real Madrid etií ½í¸í ½í¸ zamani raha sana siku hizi raha eti nikuangalia matako ya Menina na Amber Rutty analiwa ndogo
Najua tu jina "VISA VYA BABA UBAYA" lakini gazeti silikumbuki