Gazeti la sani la zamani

Gazeti la sani la zamani

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Leo tujikumbushe gazti la sani la zamani. Mule kulikuwa na mtu anaitwa Madenge jamaa yeye ni mzee wa matukio tu. Huku mzee baba mzee Kifimbo Cheza yeye fulu kugawa stiki kwa sana. Wewe unilifurahia nini kweny gazeti lile
 
Bila kusahau ugomvi wa zena na betina dah timbwili lake ni noma
 
Kuna mmoja alikwa na unywele tumboni wa kutosha simkumbuki alikuwa nani
 
Wewe ndo umechanganya madesa, baba ubaya hakua sani, kuna jarida lingne lilikua linaitwa bongo(kama sikosei), huko ndiko alikokua baba ubaya.
Baba ubaya alikua anachorwa na Dr Levy kwenye gazeti la kiu..majarida yaliyotikisa enzi hizo ni..
1.SANI na VISA
2.TABASAMU NA BONGO..
Ila bongo ndo kiboko unakutana na kina Juakali,Bob Mazishi,Njomba nchumari,Naitwa kiokote na wengineo mwisho kabisa kunakuwa na mechi ya kukata na shoka kati ya BUSH STARS NA BORN TOWN kama vile kwenye gazeti la Bongo napo kulikua na mechi hii mwisho..mechi ya Bush stars na Born town ya Bongo nilikua namkubali Bob Mazishi alikua anacheza rafu kinoma halafu refa hata hampi kadi anamuogopa mechi ya SANI nilikua namkubali Mzee Meko na shati lake alienda hadi Real Madrid eti😂😂 zamani raha sana siku hizi raha eti nikuangalia matako ya Menina na Amber Rutty analiwa ndogo
 
Obi na demu wake Linda,,
Mechi za Bush Star vs Bon Town,,
Bila kusahau harakati za Pimbi jamaa ana bahati ya kupata watoto wazuri lakini mara zote hafanikiwi kupata alichokitaka,,
 
Kiboko yao
tapatalk_1570635476353.jpeg
 
Leo tujikumbushe gazti la sani la zamani. Mule kulikuwa na mtu anitwa Madenge jamaa yeye ni mzee wa matukio tu. Huku mzee baba mzee kifimbo cheza yeye fulu kugawa stiki kwa sana. Wewe unilifurahia nini kweny gazeti lile
Zena na Betina[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom