Gazeti la serikali ni nini na linauzwa wapi?

Gazeti la serikali ni nini na linauzwa wapi?

Maana ya alshabaab sio wababe was vita,maana yake in "vijana" na ndo mana hujiita shabbab almujaahidiina,maana yake ni vijana wapiganaji wa jihaad.
usikariri Al Shabaab maana yake ni wababe wa kivita.

kwani ukijiita mbabe ni ugaidi?
 
Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
Siyo Habari Leo na Daily News!

Unaweza kuliita UBAO WA MATANGAZO YA SERIKALI. Linahusika kutoa taarifa mbalimbali za Serikali hasa zinazohusiana na masula ya Kisheria. Kwa mfano, majina ya watu walioomba kubadilisha majina n.k.
 
Back
Top Bottom