Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
usikariri Al Shabaab maana yake ni wababe wa kivita.
kwani ukijiita mbabe ni ugaidi?
usikariri Al Shabaab maana yake ni wababe wa kivita.
kwani ukijiita mbabe ni ugaidi?
Siyo Habari Leo na Daily News!Naomba anayejua maana ya gazeti la serikali ni nini. Naskia skia tu gazeti la serikali lakini sifahamu ni gazeti la HabariLeo au Daily News au ni lipi hilo?Msaada pls.
hatari sana tena wengine ndo wale wajuzi wa kila jambokizazi hiki tabu kweli ya wanashindwa kutofautisha government gazzete na government news pepar