Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Tatizo huna akili ,huko Mwanza ingekuwepo TPA wangeonyesha ,jibu ni kwamba hakuna Sana Sana ipo kwenye hiyo sehemu wameandika sehemu zingine..

Narudia tena sgr ni tembo mweupe, pattern ya mzigo iko kama inayoonekana hapa chini sasa sgr mnajenga iwe pambo au? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-185451_Twitter.jpg
    30.2 KB · Views: 3
Taratibu unaanza kuonyesha rangi yako halisi [emoji2962][emoji2962]
Tuonyeshe huo mzigo wa Mwanza..

Mimi ndio nimeandika article? Acha ujinga na utoto,waonee huruma mama zako watakaobebeshwa zigo la misumari.
 
Tumeshindwa kuendesha BRT kwa faida, tutaweza endesha SGR? Ni ndoto za alinacha tu. Huo mradi utatugharimu pakubwa, tena bora hata kama reli ingeelekezwa Songwe, lakini nako TAZARA ni siasa iliyotushinda.
Wananchi kuwahi kwenye shughuli zao za kiuchumi hiyo sio faida?!
 
Hoja yakoni ya kisiasa zaidi sio kiuchumi. Hatuwezi kujenga SGR kwa kuangalia soko la ndani tu, basi sisi ni wendawazimu.
Nani kasema soko la ndani tu?! Kipaumbele ni watanzania kwanza make ndo wanaoijenga, hao wa nje baadae baada ya wenye reli yao kupata. Hata umeme tunazalisha kwa mahitaji yetu kwanza huko nje baadae, Barabara ni kwa mahitaji yetu kwanza nje baadae, tunajenga miundombinu ya maji kwa mahitaji yetu kwanza, Yaani kama vile tungenunua ndege za air tanzania kwa ajili ya Beijing na Lusaka huku Mwanza, Dodoma, Mbeya, Kilimanjaro hakuna ndege! Tungekuwa wapuuzi sana.

Barabara zetu zitakuwa salama, bidhaa zitashuka, usafiri kwa mtanzania utakuwa nafuu na wa haraka, nk hizo ni baadhi ya faida za kiuchumi.
 
Usitumie matusi.
SGR haitaweza beba watu wote hao.
Kiufupi itasaidia watumishi, wabunge, wafanyabiashara kuendelea ishi Dsm
 
We ndo hamnazo kabisa, we huoni hapo TPA wameonyesha mizigo ya nchi Jirani tu? Ebu weka mizigo ya hapa nchini kutoka bandari ya dar es salaam ndo utajua kwa nini Mwanza, kwa taarifa yako mizigo ya Mwanza mingine mingi tu inapitia bandari ya Mombasa, SGR ikikamilika mizigo yote wa Kanda ya ziwa na uganda utapita Dar port, hiyo ndo hofu nyingine ya wakenya na hilo gazeti lao.
 
Tuonyeshe huo mzigo wa Mwanza..

Mimi ndio nimeandika article? Acha ujinga na utoto,waonee huruma mama zako watakaobebeshwa zigo la misumari.
Mama zangu watasafiri na kusafirisha mizigo yao kwa urahisi na haraka, huku biashara zao zikisafirishwa kwa gharama ndogo na haraka. Wewe endelea kuwaonea huruma mama zako wa Congo, waambie kabisa hatutawengea wao SGR bali wasubiri tukishawajengea wana kigoma nao watapata urahisi wa kuchukua mizigo kigoma, hiyo ndo nafuu yao.
 
Ripoti hiyo imeandaliwa kinadharia zaidi yenye malengo ya kisiasa. Hata mtu ambaye siye mchumi anajua thamani ya miundombinu bora na imara ya usafarishaji. Kwa hesabu rahisi chambua faida na hasara ya kusafirisha mizigo kwa punda, baiskeli, gari, gari moshi, SGR; au mtumbwi na meli; au na hata pickup na lorry.

Isitoshe, yawezekana, na ikawa na ukweli kuwa kiasi cha mizigo inayosafirishwa kwa sasa ni kidogo, lakini ni kwa sababu uwezo wa kusafirisha pia ni mdogo
 
Tuonyeshe huo mzigo wa Mwanza..

Kwa hiyo lengo la kujenga sgr ni mama zako wasafiri sio?

Watu kama nyie ndio huwa mnatiwa kitanzi .
 
Onyesha faida za Kiuchumi za sgr badala ya kuleta mipasho..

Uje na namba na utafiti kama walivyobainisha.
 
Mizigo ya hapa Nchini haifiki hata 30% ya mizigo inayopitia bandari ya Dar..

Ni Kenya tuu ndio 70% ya mzigo wa bandari yao unaishia ndani ya Nchi..

Tuwekee hapa huo mzigo unaokuja Mwanza Ili tujue kama kuna faida ya kugenga reli huko .
 
They are scared of the sleeping giant !!
 
Kwenye biashara ya usafiri ili uweze kuwa competitive lazima chombo chako kiweze kujaza abiria au kubeba mzigo wa capacity yake. Vingenevyo itakubidi uwe na nauli au bei za usafiri kubwaaaaa...na kila mtu atakukumbia.
 
Kwenye biashara ya usafiri ili uweze kuwa competitive lazima chombo chako kiweze akujaza abiria au kubeba mzigo wa capacity yake. Vingenevyo itakubidi uwe na nauli au bei za usafiri kubwaaaaa...na kila mtu atakukumbia.a
Biashara ya kuendesha railway line Tanzania au ata Africa una compete na nani, hakuna bidding competition huku za private firms kuendesha railway line.

Kwa maana hiyo unapanga bei after break even costs. Halafu sio lazima mizigo au chombo kijae ndio upate faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…