Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Huu ni ujinga wa Karne..Huwa wanajenga kumnufaisha mjukuu gani?

Nyumba sio reli,reli inaenda na teknolojia ya wakati huo Ili ilete faida sio kusubiria ,ukisubiria teknolojia inapita inakuwa chuma chakavu.

Bro wewe mara nyingi huwa unatoa madini kuhusu mambo mengi.
Ngoja nikuambie kitu,
A: Miradi ya kimkakati huwa haiangalii financial viability, bali social economic return.

B: Mradi wowote ambao utatumika across the generation ukatekelezwa sasa, utasaidia pindi ambazo need itakuwa kubwa kuto kuwa na stress. Ina maana kila kitu kinaweza kuhudumiwa bila kuwa kwenye catch up sessions.
Kama hii busara ingetumika kwenye ujenzi wa madarasa, zahanati, umeme, upangaji wa ardhi, n.k. mambo yangekuwa tofauti sana. Tusingekuwa na changamoto nyingi.
 
This is another sample of those articles that aim at confusing those who do not want to make their brains work, it is a topic aimed at showing how the writer and his Editor can come up with topics that are of no use to our country in particular and to the East African Community people in general. The writer is telling us of WB reports of 2013 or so, what is the stand of the WB today? Is the WB not funding some of SGR Phases? On the question of "experts" who say the SGR Project is not economical, who are the "expert"? Where were they when we were embarking on this project? Did they lack the forum to air this blaah blaah then? If that is the case, then let them thank the CITIZEN for giving them this chance.
 
Okay nimekusikia, unapokwenda kukopa hala benk ya ndani Bank watakueleza hebu leta write-up yako juu ya huuu maradi na wanachoangalia ni viability(investment, Technology, soko, returns etc.) ndani yake lazima waangalie fedha hizi wanazokupa utazirudishaje kwenye mradi huu. Kwa Inward looking like you hutapata mkopo hata ufanyeje. SGR haiwezi ku-break even kwa kutegemea soko la ndani hayo mengine ni siasa tu sio uchumi. Na kwa mtazomo huu hata kwa ndege serikali itaendelea kulibeba kwa fedha za walipakodi hadi ndege hizo hadi zichakae. Hata hao ATC wameshaliona ndio unaona wanaanza kwenda India na China sio kutosheleza ruote za Songea na Katavi laa hasha. Think outside the box man.
 
Ni bora watanzania tujibane ili pesa zetu zilipie miradi ya kimkakati kama hii kuliko kuwaachia mchwa kuzipiga pesa kila zinapoonekana zimejaa huko zinakohifadhiwa !! Muhimu serikali ibane matumizi yake kama wanavyoshauriwa kila Mara !! Hii Kazi na Bata tuache kabisa !! Maisha ni kuridhika tu sio lazima kula bata maana Unaweza kula bata na bado usiridhike maisha yako yotee !!
 
Jiandae kupigww mawe.
 
Ondoa Shaka ,utafika tamati pasipo kupoteza hata nukuta.
 
Tazara ina hali mbaya.
 
Mawaziri wengi wana malori na mabasi
Reli haijawahi kuzuiya Biashara ya ma Truck [emoji597][emoji602] na ma Bus.

Miaka 2010 , kurudi nyuma Soko kubwa mbao lilikua tazara kwasababu mbao nyingi zilikuja na train [emoji588], watu walivyo Hamishia mitaani wakona usumbufu wa chanting, train haipakiii hata ubao mmoja.
 
Kwani wakilipana kiasi hicho ndio inaondoa kwamba ni wataalamu?

Jadili Hoja,hadi sasa hakuna kitu alichofanya Mwendazake kinaleta faida hakipo kwa sababu za kukurupuka na Kwa vile pesa hatoi yeye..
The Sunk, marehem hasemwi vibaya.
 
SGR sio mbaya kabisa mimi najiuliza kwanini miradi mikubwa yote at once, vipi kuhusu maendeleo ya watu yaani uwekezaji katika kuhakikisha wananchi nao wanafaidi keki ya Taifa.
Kwakipindi hicho maendeleo ya watu yalizingatiwa. Ndiyo maana ya gari Moshi za kigoma, Mwanza , Tabora, Monda, na na hii ya Ifakara , Mlimba,Chita ,Uchindire Makambako kwenda Meya. Kote ziliko pita zilisaidia watu, ambao hawakua na njia mbadra .Lakini kwa Sasa hatuangalii watu TU, tunaangalia na faida.
 
Hizo gari Moshi zinaleta faida au mnakamua Kodi za maskini kwenda kutafutia sifa za kijinga?
 
Suala la TZR na SGR ni vitu viwili tofauti, hili la TZR lina siasa nyingi sana tofauti na hili la SGR ambalo ni straight forward uwezekezaji makini!
Tena hilo LI sgr ndio limejaa siasa..

Kwa Takwimu hizi hapa sgr itapata wapi mzigo wa kubeba Ili isiwe siasa? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-185451_Twitter.jpg
    30.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220726-181855.png
    105.9 KB · Views: 7
Hii nchi miaka 60 sasa hata kuendesha mashirika ya maji yanayotumia teknolojia nyepesi sana ili watu wote wapate maji ya bomba bado ni mtihani mzito!
Hilo ndilo swali muhimu linalotaka jibu.
Jinsi ya kuboresha uendeshaji; na wala siyo ujenzi wa reli ya kisasa.

Swala la uendeshaji ni tofauti kabisa na uhitaji wa reli mpya ya kisasa.

Ukitaka kulijadili hilo unakaribishwa.
 
Hi i kipindi Mkoroni anajenga reli kati alikuwa na uwezo wa kusafirisha tani ngapi?
Kulikuwa na mzigo mwingi sana kuliko wa sasa hususan magogo kutoka Tabora, Morogoro nk. Ila kwa sasa hakuna mzigo unaokwama kusafiri katika njia ambayo SGR inapita, na hiyo inadhihirisha kuwa return ya SGR ni far from designated PBP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…