Ngoja nikwambie jambo mkuu 'Yoda'.Hii nchi miaka 60 sasa hata kuendesha mashirika ya maji yanayotumia teknolojia nyepesi sana ili watu wote wapate maji ya bomba bado ni mtihani mzito!
Tunajenga kwa Kodi zetu, ikibidi tunakopa na kulipa kwa Kodi zetu, mfano serikali imekopa na kujenga Barabara ya lami tabora hadi Mpanda, unategemea huo mkopo utalipwaje?Okay nimekusikia, unapokwenda kukopa hala benk ya ndani Bank watakueleza hebu leta write-up yako juu ya huuu maradi na wanachoangalia ni viability(investment, Technology, soko, returns etc.) ndani yake lazima waangalie fedha hizi wanazokupa utazirudishaje kwenye mradi huu. Kwa Inward looking like you hutapata mkopo hata ufanyeje. SGR haiwezi ku-break even kwa kutegemea soko la ndani hayo mengine ni siasa tu sio uchumi. Na kwa mtazomo huu hata kwa ndege serikali itaendelea kulibeba kwa fedha za walipakodi hadi ndege hizo hadi zichakae. Hata hao ATC wameshaliona ndio unaona wanaanza kwenda India na China sio kutosheleza ruote za Songea na Katavi laa hasha. Think outside the box man.
Acha fujo dogo.. pesa za nchi siyo kama zako unaenda kutoa kwa wakala unajenga banda huko goba.. mradi unaojengwa kwa pesa ya nchi ni lazima ufanyiwe upembuzi yakinifu ili kuona manufaa na hasara zake.. kama hasara ni kubwa kuliko manufaa, huo mradi unafia hapo hapo..Ukiamua kujenga nyumba saiv na uje ujenge 2030 hakuna usawa, kuna mfumuko wa bei kila kukicha, reli inajengwa kama hutaki kaa chini ulie.
Sgr kuhitajika kwa vile tunapakana na chi 8 siyo hoja ya msingi.. hoja ni je, mzigo upo?Ujenzi wa reli kwa kiwango cha SGR ni mkakati mpana wa kuiunganisha Afrika nzima kwa njia ya reli. Eneo letu la Afrika mashariki pia linatekeleza mpango huo na Kenya Tayari waliishaanza, Sisi tunafuata. Afrika Magharibi wako kwenye matayarisho wakati Egypt wameisha anza pia.
Tanzania kuzungukwa na nchi nane kuacha kujenga sasa reli mpya yenye uwezo mkubwa wa kubeba mzigo mzito, ingekuja kutugharimu sana baadaye.
Mpango wa kujenga reli ya SGR, haukuasisiwa na Magufuli bali aliukuta na kuuanzisha kwa kasi ya ajabu. Ni miundombinu ya kimkakati itakayochochea uchumi wetu siku za usoni ....Kama itakamilika!.
Iiikuwa bize kwa sababu wakoloni walikuwa wanafanya kazi. Mashamba yote ya kahawa arusha na moshi yalikuwa ya kwao.. ngano kule hanang ilikuwa ya kwao, katani yote kuanzia pangani hadi same ilikuwa ya kwao. Baada ya wivu wa kishamba uliopelekea kutaifishwa kwa hizo engine za uchumi, haikuchukuwa muda mrefu reli ya Arusha-Tanga-Dar kufa..Reli wakati wa mkoloni ilikuwa bize sana na ndiyo iliyotumika kuimaliza Tanganyika na Africa kwa kusafirisha malighafi ya kila aina. Wakati wa mkoloni kwamfano reli ya Dar-Arusha ilikuwa bize ikibeba kahawa leo hii reli hii imekufa.
Tatizo huenda hilo yai la bwn Makakala limekupita kushoto ndo maana unaandika ambayo hata wewe huelewi.. kasome upyaHao researchers ni manenge na mandawa .kwa hiyo mwisho 2030 ndo mwisho wa Dunia. Siku workd bank watakaposhangilia kuwa Africa inafanya vizuri ujue ndo utakuwa mwisho wa dunia
Nisubiri hapo hapo maana numeconentia introTatizo huenda hilo yai la bwn Makakala limekupita kushoto ndo maana unaandika ambayo hata wewe huelewi.. kasome upya
😂😂😂😂😂😂😂My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇
Hii reference ya zamani Kuna mambo mengi yamebadirika!A 2013 World Bank report observed that an SGR project requires a volume of 55 million tonnes to be viable, while EAC railways are estimated to achieve only 14.4 million tonnes in total by 2030.
Mkoloni alilenga kusafirishia vitu vyake tu. Whatever small they were.Hi i kipindi Mkoroni anajenga reli kati alikuwa na uwezo wa kusafirisha tani ngapi?
Reference mpya iko wapi?Hii reference ya zamani Kuna mambo mengi yamebadirika!
Naona umejikita kwenye malumbano ya kisiasa. Mzigo usingekuwepo, Rwanda wasingehangaika kujenga bandari kavu Isaka wala wasingekuwa na mpango wa kujenga reli ya SGR kuanzia Isaka-Kigali hadi Goma.Sgr kuhitajika kwa vile tunapakana na chi 8 siyo hoja ya msingi.. hoja ni je, mzigo upo?
Ukweli ni kwamba mzigo haupo, uliopo ni 28% ya kiwango cha chini kuendesha sgr kwa faida. Sijui ambacho hujaelewa nini kwenye hiyo makala? Au kidhungu 🙌
Kwa ufupi, sgr kwa mujibu wa bwn Makakala haina mashiko kwa sababu haitaweza kujiendesha bila ruzuku ya serikali.. tazama serikali ilivyochoka.. inawaongezea watumishi wake sh elfu nane baada ya miaka 7.. wakati gharama za maisha zimepanda mara mbili ndani ya muda huo
Ndo utajua hujui
Sawa mkuu.. siasa aside..Naona umejikita kwenye malumbano ya kisiasa. Mzigo usingekuwepo, Rwanda wasingehangaika kujenga bandari kavu Isaka wala wasingekuwa na mpango wa kujenga reli ya SGR kuanzia Isaka-Kigali hadi Goma.
Congo DRC na Burundi, kama wasingekuwa na mzigo wasingengaika kujenga bandari kavu Kwala, wala wasingejenga reli ya SGR pia, kuanzia Uvinza -Msongati na kisha Uvira-upande wa DRC
Mzigo unaoshuka bandari ya Dar es salaam na Mombasa kuelekea nchi za maziwa makuu ni mkubwa, tatizo liko kwenye miundombinu na zaidi sana ufanisi wa mamlaka za bandali na reli na hasa mind set ya watendaji.
Angali meli siku hizi zinashusha magari 3000 na 80% yanatumia barabara kwenda Burundi DRC na Rwanda walioagiza mzigo. Vipi kuhusu mzigo wa shaba kutoka jimbo la Katanga DRC, unafahamu kuwa ulikuwa unabebwa na TRC hadi bandarini Dar es salaam ?
Mkuu kutembeza mabakuli ulaya ni hulka mbaya tuliyonayo waafrika,hasa viongozi wa kisiasa tuliowapa nyadhifa, naamini ni athali za kutawaliwa kiakili na kuacha wanaoitwa washirika wa maendeleo wakivuna mali. Maliasili iliyoko Congo kwa mfano inatumika Dunia nzima ni adimu. Njia ya kulifikia soko la Dunia ni hizi bandari mbili za Mombasa na Dar es salaam. Kuwa na viwanda ili kuchakata malighafi asilia ni hatua ya pili inayotanguliwa na miundombinu imara hasa ya reli.Sawa mkuu.. siasa aside..
Hizi nchi unazozizungumzia hazizalishi mali yoyote ya kiviwanda, kiasi kwamba mizigo yake itashindwa kutoka au kufika bandarini.. swala kwamba wanataka kujenga ni sawa tu, ila mahesabu hayako upande wao. Kama kweli mzigo upo.. basi wasingeenda Washington au Beijing kutembeza mabakuli kuomba pesa za miradi..
Evaluation ya mradi wowote hata kama unalipwa na serikali lazima watazame returns zake/faida kwa Taifa whether monitory or othermeans. Lazima ifanyike hivyo, huwezi kujenga kitu kisicho na faida na kujidai eti serikali inalipa, basi serikali hiyo ni ya vichaa.Tunajenga kwa Kodi zetu, ikibidi tunakopa na kulipa kwa Kodi zetu, mfano serikali imekopa na kujenga Barabara ya lami tabora hadi Mpanda, unategemea huo mkopo utalipwaje?