Habari za leo,
Gazeti la
The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?
Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..
Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?
My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?[emoji116]
View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968