Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Kwa iyo malighafi na mali za kusafirisha bongo hakunazo.
Si bure ww ndio cheti feki
Ulienda shule kujaza mavi kichwani..

Malighafi hazitoshelezi kuleta faida hata Kwa miaka 50 ijayo..

Ukisema reli imejengwa Ili iishi miaka 100 ndio ilete faida ,teknolojia itakuwa imetuacha ndio maana hata za sasa hazileti faida ila zilileta faida wakati ule..

Na mda huo unasubiria bado unatumia Kodi za Umma kuendesha,hasara juu ya hasara..

Watu kama nyie mlitakiwa kunyongwa.
 
SGR sio mbaya kabisa mimi najiuliza kwanini miradi mikubwa yote at once, vipi kuhusu maendeleo ya watu yaani uwekezaji katika kuhakikisha wananchi nao wanafaidi keki ya Taifa.
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?

Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..

Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?

My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇

View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968
Data za mabeberu zimelenga kukatisha tamaa ili tusijenge reli ya SGR. Huu ni uwekezaji wa muda mrefu uliolenga kusaidia taifa letu kwa mamia ya miaka mbele yetu. Ushauri wao ni sawa na ushauri wa mtu aliyejenga nyumba nzuri kwa wanaotaka kujenga nyumba!! Mara nyingi huwakatisha tamaa kwa kuwatajia mamilioni marefu yanayohitajika. Lakini wenye akili zao huanza mdogo mdogo na baada ya miaka kadhaa hufanikiwa kumalizia ujenzi na kumiliki jumba kubwa la hadhi. Wale wanaoogopa gharama wanazotishiwa nazo hubaki wakisumbuana na "mama mwenye nyumba" kwenye ulipaji wa kodi, au hujenga vibanda kama vibanda vya kuku.

Siku zote mabeberu watajitahidi kutukatisha tamaa kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayolenga kutukomboa kwa miaka mingi ijayo. Kwa mfano mradi wa Stigler's Gorge almaarufu kama bwawa la mwalimu Nyerere unaolenga kutufanya tujikomboe kabisa kwenye mahitaji ya umeme, umepigwa vita sana na mabeberu miaka nenda rudi wanaotaka waendelee kutupiga kwa kuwalipa capacity charges kwenye miradi ya kinyonyaji ya kufua umeme! Ndiyo maana walimchukia sana Magufuli kwa kukomaa na hiyo miradi miwili na namshukuru sana mama ameamua kuimalizia kwa gharama yoyote ile!. Tutafika tu hata kama ni kwa kuchelewa na hii ndiyo mikopo ambayo watoto wetu na wajukuu zetu watakapokuwa wanalipa mikopo hii wataelewa maana kuna kitu chenye tija wanachokiona!Lakini mikopo ya corona kama ni kwa kununulia chanjo au madawa watakuja walipe huku wanaona kuwa wazazi wao waliwauza!!

Hawa wataalamu wanaodai huu mradi wa SGR hauna faida watakuwa ni vibaraka wa mabeberu na wamenunuliwa kwa bei ya aibu ili tuendelee kuwategemea mabeberu hao huku wakitunyonya kama kupe!!! Watukome!
 
SGR sio mbaya kabisa mimi najiuliza kwanini miradi mikubwa yote at once, vipi kuhusu maendeleo ya watu yaani uwekezaji katika kuhakikisha wananchi nao wanafaidi keki ya Taifa.
Umesoma article? Uzuri wake ni hizo structures au ni kuleta faida?

Wazungu walipojenga hizi za Sasa walijenga kama pambo au ? SGR itasafirisha kitu gani cha kurudisha gharama za ujenzi na operational costs?
 
MPUMBAVU katika ubora wako wa kujivunia kabisa East Africa.
Jadili hoja kwa hoja sio kuropoka matusi..

Matusi hayajibu hoja..

Swali jingine Kati ya Mwanza na Tunduma wapi sgr ilitakiwa kuelekea kwa kuzingatia maslahi ya Taifa na Takwimu 👇?
 
Attachments

  • Screenshot_20220722-185451_Twitter.jpg
    Screenshot_20220722-185451_Twitter.jpg
    30.2 KB · Views: 6
Kwani wakilipana kiasi hicho ndio inaondoa kwamba ni wataalamu?

Jadili Hoja,hadi sasa hakuna kitu alichofanya Mwendazake kinaleta faida hakipo kwa sababu za kukurupuka na Kwa vile pesa hatoi yeye..
That is rubbish, men! Siyo juu yangu kukupa elimu. Badala ya kupoteza muda kupiga vita kitu kisichozuilika, better educate your own self.
 
Serikali si lazima irudishe gharama za ilichofanya

Ila ujinga aliofanya Magu ni lile daraja la kwao
 
Hizi makala huwa haziibuki tu, hii ni propaganda yenye lengo maalum. Hii nchi kuna ujinga tunaulea, kuna mambo tukiruhusu siasa zetu chafu ziingilie tutavuna mabua.
Opportunistics ni shida kubwa sana katika nchi hii !! Hapo ujue wenye malori wameanza kampeni chafu ili huo mradi wa Sgr usikamilishwe !! Nchi kama itakuwa inaendeshwa namna hii tutapata tabu sana , watu wapo kwa ajili ya masilahi ya kikundi Fulani kilichojipanga kisawasawa kuihujumu nchi kwa maslahi yao !!
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?

Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..

Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?

My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇

View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968
Magufuli hakujenga hiyo reli kwa ajili ya mizigo Bali wananchi kupanda, hao wataalamu Ni wapumbavu
Kwa hili namtetea Jiwe, kwenye miundombinu hakukosea yule Mzee,juzi nimekaa kivuko Cha Busisi saa Zima nasubiri kuvukq !!
 
Binafsi niliona halikuwa wazo zuri kwa kuangalia utilization ya reli ya zamani ilikuwa asilimia ngapi? binafsi niliamini tulipaswa kuhakikisha kwanza reli ya zamani ni productive na utilization yake ni maximum na tumeelemewa ndio twende kwenye option B.

Kama tulijenga tu kwa fassion kwa sababu duniani zinajengwa bila technical calculation ni kuchezea tu hela za walipa kodi, watu wetu wanapaswa kuwa na fikra za kazi zaidi.
Kwahiyo kwa upande wako kufanya mradi fulani hadi uelemewe??? Wakati unafahamu kabisa kuna muda ukifika utaelemewa.

Kipi bora ufanye sasa kabla hujaelemewa au usubiri uelemewe.
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?

Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..

Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?

My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇

View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968
Pamoja na kumpinga Magufuli katika mambo yake mengi, lakini katika hili la SGR ni no!
Nchi za Magharibi wana mipngo yao ambapo wanataka nchi za Afrika daima kuwa tegemezi, na nchi ikifanya lile wanaloliona 'utatoka' kiuchumi basi wapiga vita miradi hiyo.
 
Back
Top Bottom