Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

Mkuu;
Pascal Mayalla unasema wapinzani hawawezi kuingia Ikulu milele bila msaada wa watu wa Marekani?

Kumbuka Mwl. Nyerere alisema, wapinzani wa kweli watatoka CCM na kwa maana hii, CCM itaondolewa madarakani kwa msaada wa wanaCCM na sio watu wa Marekani pekee!
 
Kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako hili kurutubisha bandiko langu fulani kwa siku zijazo.
P
 
Kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako hili kurutubisha bandiko langu fulani kwa siku zijazo.
P
Mkuu Pascal Mayalla huhitaji kuomba ruhusa lakini hata hivyo umeonyesha unyenyekevu kitaaluma kwa kuomba ruhusa!

Tumia utakavyo hasa kwa manufaa ya kuelimisha wajinga wa hapa Jamiiforums!
 
Kama unaiamini hiyo Intelligence Unit ya gazeti la the Economist kwamba inatoa habari za kiuchunguzi na za kweli basi muachieni Kabendera, mbona mnaendelea kumshikilia wakati alikuwa anaripoti kwenye media yenye Intelligence Unit mnayoiamini?

Au mnapenda ukweli wa yale yanayowafurahisha tu, ukweli wa yale machungu kwenu mnaukataa!

#pathetic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikujua kuwa mashitaka ya Kabendera ni kuripoti kwenye gazeti la The Economist!

Mkuu, naomba unipatie charge sheet ya Kabendera ili nami nisome!
 
Leo ndiyo mnaona The Economist wameongea ukweli?

Mbona wakeiponda serikali ya Magu mnatoka povu?

Sasa mjiandae kabla ya uchaguzi watakuja na tamko tofauti na hili...poleni sana na endeleeni kutenda uovu kwa raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndiyo mnaona The Economist wameongea ukweli?

Mbona wakeiponda serikali ya Magu mnatoka povu?

Sasa mjiandae kabla ya uchaguzi watakuja na tamko tofauti na hili...poleni sana na endeleeni kutenda uovu kwa raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kupiga ramli pia ni sehemu ya angalizo!

Kumbuka Gazeti la The Economist limeandika, ‘’Under the leadership of John Magufuli, the long-standing ruling party, the CCM, will retain a firm grip on power’’.
 
Sasa "huelewi" au "unajifanya" huelewi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye akili timamu na fikra pana hawezi kuzifanya hisia za mtu fulani kama ndio ukweli!

Wewe kama unazielewa hisia zako, mimi sio jukumu langu kuzielewa au kujifanya sizielewi kwa sababu kufanya hivyo nitakuwa ninatumia akili na fikra zangu vibaya!
 
Kwa nguvu ya Police na Jeshi, in the ballot box CCM wanashindwa asubuhi sana tena sana! Kwenye uhuru ha haki... free and fair election ,upinzani will emerge winner!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…