Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.

Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).

Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:

“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.

He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
Unasema hakuna uwezekano wa kuwepo chanjo ya cancer!? nenda kajifunze upya kuhusu aina mbalimbali za kansa, matibabu na kinga zake halafu urudi hapa....kwa kukusaidia kasome kitu kinaitwa immunotherapy.
 
Magufuli kawa Rais wa dunia, akipiga chafya tu dunia mzima inaanza kujadili kauli yake, Africa/Tanzania tulitaji marais kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli.
Wanashanga kuamini dini waliyotuletea eti inasadia wakati wenyewe wanaiona Haina thamani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Hata hivyo hatuhitaj watu wa aina kama yako mana ni aibu kwa nchi kubwa kama tz kuwa na kilaza kama wewe..yaan ww useme unatokea kenya
 
Hata hivyo hatuhitaj watu wa aina kama yako mana ni aibu kwa nchi kubwa kama tz kuwa na kilaza kama wewe..yaan ww useme unatokea kenya
Huyu mtu akili yake haiko sawa anashindwa kuelewa kuwa hata hizo dini anazozisujudia zimeletwa na wazungu, yeye anawaza chanjo tu
 
Nani wewe unamjua amekufa na corona ? Na wewe mbona bado hujafa tu na hio corona , ili hali haupo karantini kama inchi za wengine[emoji848] why huna logical reasoning?[emoji848]na muunga mkono asilimia [emoji1666]Rais Magufuli [emoji23]ila sasa tulitaka tumsikie akisema watalamu waafya wandan wa tz wanaendelea na mchakato wakitafuta dawa na chanjo ya coronaa
 

Tanzania’s president expresses doubts about COVID vaccines​

Tanzanian president President John Magufuli waves to Tanzanians as he arrives for his swearing in ceremony in Dodoma, Thursday, Nov. 5, 2020.
Tanzanian president President John Magufuli waves to Tanzanians as he arrives for his swearing in ceremony in Dodoma, Thursday, Nov. 5, 2020. (Associated Press)
By Tom Odula | AP
Jan. 27, 2021 at 9:07 a.m. EST
NAIROBI, Kenya — Tanzania’s president on Wednesday openly expressed doubt about COVID-19 vaccines and accused people who were vaccinated outside the East African nation of bringing new infections into the country.

Support our journalism. Subscribe today.
“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.

He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines. Magufuli, who offered no evidence to support his doubts, has been widely criticized for declaring the coronavirus defeated in Tanzania. The country hasn’t updated its number of confirmed infections since the middle of last year: 509.


But now other authorities in the country, including the Catholic church, appear to be pushing back as parts of the African continent see a strong second surge in virus infections.

Magufuli also suggested that donated vaccines are part of a conspiracy to steal Africa’s wealth: “Don’t think you are loved so much. Tanzania is rich. Africa is rich. Everyone wants a piece of it.”

The president in the past has told Tanzanians not to implement social distancing while encouraging them to use untested herbal remedies to treat the disease. He also questioned the credibility of donated virus tests.

Some people who opposed the government’s stance that Tanzania was coronavirus-free were arrested and charged.
Magufuli won a second five-year term in office in an October election which opposition leaders blasted as a “butchering of democracy.”

Copyright 2021 The Associated Press. All rights reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten or redistributed without permission.
Unless you tell me covid _ 19 is not as contagious as it said Tanzanians have been going on with their businesses since April 20 and if it was, we would have been seeing deaths in their numbers but it is not like that, this shows Tanzania is corona free
And if there a second insurgency of the virus, that is another case and I would urge scientists to find out why is Tanzania not suffering like other countries, they might come up with an idea that locking down someone is putting him/ her in danger as the body becomes idle putting the virus better environment to attack body tissues.
 
Acha uoga mkuu hawana cha kufanya anachofanya Raisi Magufuli ni kuwaamsha viongozi wa afrika na kuwapa confidence za kutowaogopa wazungu hiyo ni big lesson kwa viongozi wenye kufikiri kwani siku moja viongozi wote wa afrika watakuwa kama Raisi Magufuli na tutalikomboa bara letu la giza.
Kwanza muulize Magufuli anatenga Bajeti kiasi gani kwenye afya na zaidi kwenye utafiti wa magonjwa na ni kiasi gani cha fedha za bajeti inayotengwa kinapelekwa.
 
Take all necessary precautions corona is REAL.

Unless you tell me covid _ 19 is not as contagious as it said Tanzanians have been going on with their businesses since April 20 and if it was, we would have been seeing deaths in their numbers but it is not like that, this shows Tanzania is corona free

And if there a second insurgency of the virus, that is another case and I would urge scientists to find out why is Tanzania not suffering like other countries, they might come up with an idea that locking down someone is putting him/ her in danger as the body becomes idle putting the virus better environment to attack body tissues.
2E42E390-51F3-4005-A303-D16DE30269E3.jpeg
 
Magufuli akili zero...eti chanjo ya cancer[emoji3]
Huu uzi naamini Kuna siku utafufuliwa na Kuna watu wataona aibu hata kusoma comments zao wenyewe, ngoja tusubiri mana muda ni mwalimu mzuri sana.

Wakati kiindi kile anasema vipimo vya Corona vibovu watu walitukana dunia nzima mwisho ikawa aibu kwao Sasa na hili ngoja tuone.

We kirus kila siku kinakuja kipya tena kikiwa advanced kuliko Cha kwanza bado tu hujiulizi ni kwanini kinakuwa hivyo?? Kama si kutengenezwa na watu kwa makusudi kumbe ni nini?

Alafu hujiulizi kitu kuwa kama kirus kila siku kinakuja kipya na chenye makali zaidi ya Cha kwanza je utakuwa unapigwa chanjo ngapi ili kuendana na kasi ya kirusi??

Mana kila siku kinakuwa advanced tu hivyo itakubidi uwe unapata chanjo kulingana na upya wa kirusi daah!!

Kila siku tutachanjwa na kila siku tutaendelea kutoa mahela kununua chanjo mpya huku watu wakitajirika wao kazi yao itakuwa tu ni kubuni chanjo mpya na kirusi kipya na kuendelea kupiga hela.
 
kumi wenye msimamo usiyoyumbishwa na wazungu kama Magufuli, corona ya mala ya kwanza aliwambia hivi kila mtu akambeza mwisho wa siku akaibuka kidedea, sasahivi kila taifa limechukua njia yake ya kujilinda na corona,akuna anayefungia ndani tena, Ninajua nahii ya mala ya pili lazima aibuke mshindi.
Pengine hujui kitu chochote kuhusiana na epidemiological control. Magufuli hajawahi kuwa na njia katika hili bali anafanya buffoonic gymicks tu. Lockdown ni primary pandemic epidemiologic strategic control measure, hivyo haiwezi kutumika tena Kwa sasa kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya COVID-19. Unatakiwa kuwa muelewa kujadili masuala haya bila ushabiki.
 
Magufuli hajawahi kuwa mkweli hata kidogo...Yeye kila kitu anawalaumu mabeberu hata kwenye vitu vya msingi.

Tuchukue tahadhari waTz wenzangu,this dude is Real.
JamiiForums2034041675_166x256.jpg
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Pumbavu uhamie huko huko. Hivi mama yako akiwa mchafu utashindwa kumtamburisha kwa rafiki zako kwa sababu ya muonekano wake? Uzalendo kwa nchi yako ni kusimama na kuitetea nchi yako hata Kama imekosea.
 
Unaongelea lockdown tu kukwepa hoja ya msingi.

Hiyo lockdown kama na wazungu wamewekeana, sis inatuhusu nini?

Hoja hapa ni madai ya Magu kuwa hiyo chanjo si salama na sio lockdown.
si huwa mnadai wazungu wamewekewa chanjo pia!!!
 
Huyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Kwa kweli. Me mwenyewe napata wasiwasi kwa hizi hotuba za hadhara za kuwa clash hao jamaa kwenye madawa yao na vifaa mbalimblai vya misaadkweru kuwa wanalengo la kutumaliza, ni bora baadhi ya maneno makali wangekuwa wanaongelea ofisini wakiwa viongozi wakubwa tu pasipo media. Waweke mikakati mf. Waziri wa afya n.k kutokuchukua hizo chanjo n.k. Kuliko kuongea na kuponda kila kitokacho kwa mzungu. Hao watu wanaweza kureact pia negative na wakaja kutupandikizia majanga makubwa sn kuonesha uwezo wao kuwa wakiamua kitu wanaweza. Kweli kuna haja ya kuchagua maneno na kupunguza ukali. Maana kwa hali ilivyo sasa kila tunachokiongea hata kwa lugha zetu wao wanaweza kukifahamu pia.
 
Back
Top Bottom