Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,768
Utumwa unakusumbuaNikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Utumwa unakusumbuaNikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Tuna Rais wa ajabu ajabu sana.....!!!!Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.
Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).
Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:
“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.
He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
Umeiweka vizuri zaidiHapana, amesema yanayoogopwa kusemwa, hajasema yale yasiyosemwa. Watu karibia wote huwa wanayasema aliyoyasema ila kwa kificho
Kwanin ndege alienda kununua kwa wazungu acha uzwazwaIf there is any doubt I'd rather give its benefit to Magufuli, never trust a white man. Sasa wewe unajitia mjanja unashangaa chanjo ya kabsa, unashangaa nini, si ni ugonjwa tu? Tulipima kware Eliza tukakutavyuko positive, vifaa vyote vilikuja kama msaada. Wanataka makanikia yetu jupitia kwa wasaliti.
Hizo ARV tunazopewa bure sis kwa sababu serekali yako inawalamba matakoIli ujitambulishe kwa mzungu na upokewe vizuri lazima nchi yako iwe ina ramba matakle yao, sasa tz kwa sasa kiongozi wetu kakata kuwaramba.
Sasa ukitaka jitambulishe kuwa mkenya
Ndiyo maana kina human papilloma virus vaccine. Ni Kwa ajili hiyoTena ya kizazi husababishwa na virusi, nadhani wakiamua chanjo inawezekana
CrapIf there is any doubt I'd rather give its benefit to Magufuli, never trust a white man. Sasa wewe unajitia mjanja unashangaa chanjo ya kabsa, unashangaa nini, si ni ugonjwa tu? Tulipima kware Eliza tukakutavyuko positive, vifaa vyote vilikuja kama msaada. Wanataka makanikia yetu jupitia kwa wasaliti.
Basi endelea kuwaramba ili upewe na chanjo ya coronaHizo ARV tunazopewa bure sis kwa sababu serekali yako inawalamba matako
Ni mim au serekali yako inawalamba matakoBasi endelea kuwaramba ili upewe na chanjo ya corona
Ni wewe si unaona unavyolialia kwamba selikali isitoe matamko ili upewe chanjo ya coronaNi mim au serekali yako inawalamba matako
Jamaa Hana exposure kabisa ndo tatizo alilokua nalo
Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
Mkuu uko kama mimi kwa kweli ni aibu sanaNikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
TAKUKURU Haijapa cheti cheti za 'utumishi uliotukuka' wa JF bure! JF inapiga kazi sawa sawa!There are real great thinkers in Jf, people with facts
Sasa kakosea nini? Huko ulaya pia kila mtu ana mashaka kama huu ugonjwa ni kweli hatari kiasi hicho au ni njama tu mabepari wanaowatawala wapige hela. Nerthelands hivi juzi tu wameandamana watu na ghasia kutokea kupinga kuwekewa lockdown. Na sehemu nyingi za ulaya. Marekani wenyewe hamna kuelewana kuhusu hili gonjwa.Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.
Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).
Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:
“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.
He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
Unaongelea lockdown tu kukwepa hoja ya msingi.Sasa kakosea nini? Huko ulaya pia kila mtu ana mashaka kama huu ugonjwa ni kweli hatari kiasi hicho au ni njama tu mabepari wanaowatawala wapige hela. Nerthelands hivi juzi tu wameandamana watu na ghasia kutokea kupinga kuwekewa lockdown. Na sehemu nyingi za ulaya. Marekani wenyewe hamna kuelewana kuhusu hili gonjwa.
Huku afrika baadhi ya viongozi wenye kusujudu wazungu na vibaraka wameishia kufungia watu wao lockdown na kuwatia hofu hadi wanakufa ovyo kwa hofu. Huko south afrika rwanda uganda kenya na kwingine kuna hela mamilioni zinafisidiwa kupitia covid 19 watu wanafaidika kwa kuibia umma huku nchi zinapoteza mabilioni kulipa makampuni ya ulaya.
Jinga kabisa ni Nchi au utajiri wa Nchi.?Yeye anadai nchi hii Ni tajiri Sana. Jinga kabisa
Oyaaa Furahin.
Kwakua shida ya kupumua imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]
Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.
tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]

Hizi kauli zingine zinashangaza. Tangia lini kansa inaambukizwa? Uwiii!Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.