Kisamo one
Member
- Apr 16, 2019
- 11
- 7
Wewe Ni afadhali kawaambia wazungu ukweli. Tunahitaji kufanya kazi na hakuna solution hapo. Hatuwezi kujifungia ndani. Tutakula nn sasa
Huyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Wazungu wanatapatapa!
Oyaaa Furahin.
Kwakua shida ya kupumua imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]
Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.
tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]
Kujitambulisha kama Mtanzania huko majuu kwa sasa hivi ni embarrassment!Siku za nyuma ulikuwa unajitambulisha kama nani? Ukiwa mzamiaji haramu kama ulivyo ni kawaida huwezi kujitambulisha kama Mtanzania kuhofia kukamatwa na kurudishwa huku bila nguo. Jiite tu Mmarekani mweusi au jina lako la usanii la M-mbabe kama unavyotambulika hapa
Kujitambulisha kama Mtanzania huko majuu kwa sasa hivi ni embarrassment!Unaendaga nchi gani nawewe kabwela mwenzangu.
Dawa ni kuwaondoa hawa wanaoidhalilisha nchi yetu hadi ionekane ni kituko, hivoo!Hama kabisa nchi
Mbona sasa wengine wanasema huu ugonjwa tuliweza kuudhibiti mwaka jana? mfano kwenye waraka wa juzi wa baraza la maaskofu katoliki wao wanasema tulifanikiwa kudhibiti corona mwaka jana. Sasa wewe mkuu unasema watu wanateketea mnakuwa mnanichanganya.Kusema kweli binafsi nashangaa sana, Hivi ni kipi cha maana kati ya hivi;
1. Kuwekana wazi na kupambana na ugonjwa huu hadi utokomee AU
2. Kudanganyana kuwa haupo huku watu wetu wakiteketea kwa ugonjwa kila uchao!
Tunamficha nani? Ili iweje? Nini lengo la kuficha kuhusu ugonjwa huu?
Lete chanzo!kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).
Nadhani hata zile chanjo zingine nazo pia zitakuja. Za malaria, cancer, TB, HIV..... si zipoLazima washiktuke kwani wanashangaa kuwa inakuwaje mtu ni mwanasayansi anaongea mambo ambayo, ni ya ajabu ajabu hivyo kuhusu masuala ya sayansi!!
Leo WHO, wametuma salamu kuwa TZ, ijiandae kupokea chanjo ya covid19!!ngoja tuone sasa kwani kuna mambo ambayo , lazima ufanye kwa vile ni mwanachama!!na ni jukumu la nchi kuzinunua hizo chanjo, isije ikawa anataka kufanya janja janja, eti chanjo ni hatari ili kukwepa jukumu la msingi la serikali kulinda watu wake!!wao kila wakiamka ni ujenzi tu!!hakuna kiongozi aliyeshindana na wazungu akaibuka mshindi!!walikuwepo wababe, kina HUGO CHAVES, MUGABE, na sasa maduro muulize alikuwa ndio taifa lenye akiba kubwa ya mafuta , huko s.america, sasa yuko hali gani!??kilichotokea zimbabwe kila mtu anajua!!
Hapana, amesema yanayoogopwa kusemwa, hajasema yale yasiyosemwa. Watu karibia wote huwa wanayasema aliyoyasema ila kwa kifichoAlichofanya magu ni kusema yasiyosemwa Tu but ana point yake na siyo ya kuibeza
Kwa nini hizo hazijaletwa? Kuna nini kilitokea?
Umeshindwa hoja unakimbilia matusi!! Mtapata tabu sana kutetea waropokaji.Sasa unashangaa nini wewe ass? Na sentensi ya mwisho wameongeza ujinga wao hakusema maneno ya pigs
Kile unachoona kuwa ni kinyume katika haya majibu uliyoyaandika hapa juu, ndiyo jibu sahihi. Ulishwawahi kukuta watu wanazima moto mkubwa sana kwa kutumia moto mwingine mdogo? Huwa wanaangalia moto unakoelekea, halafu wanakimbia mbele umbali fulani ,wanaenda kuwasha moto mwingine mdogo huko na kuanza kuuzima. Fikiria sasa moto mkubwa ukishafika sehemu hiyo palipokuwa pamewashwa moto mdogo halafu moto huo mdogo ukiwa tayari umeshazimwa, what happens? Huu utaratibu wa kuzima moto namna hii ni kama uko kinyume kwa sababu katika fikra za kawaida, mtu hawezi kufikiria kwamba moto mkubwa unazimwa kirahisi kwa kuwasha moto mwingine!Kusema kweli binafsi nashangaa sana, Hivi ni kipi cha maana kati ya hivi;
1. Kuwekana wazi na kupambana na ugonjwa huu hadi utokomee AU
2. Kudanganyana kuwa haupo huku watu wetu wakiteketea kwa ugonjwa kila uchao!
Tunamficha nani? Ili iweje? Nini lengo la kuficha kuhusu ugonjwa huu?
My friend better return the money you have obtained by 'conning' from those 'vaccine money monger' for so called lobbying!! Our current and future generations existance are not debatable! We will defeat any threat towards our generation with reliable means, which we are sure of their safe 'constituents'DETRIMENTAL? Devastating? Disastrous? Careless? Bullying? Narcissistic? Sadistic? Which word exactly fits the description of the character and statements of Tanzania’s President John Magufuli in his handling of the COVID-19 pandemic?
No one really knows what has befallen President Magufuli, a PhD holder in Chemistry and a former science teacher, who does not seem to believe in science any more when it comes to protecting his people against the adverse effects of the Coronavirus infections
Wilaya ya musoma vijjn.