Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?
Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?