Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kwake yanalipiwa hana shida, niliyaona kwenye atcl nikashangaa kabisaMuulize musiba
Yale ni Magazeti ya MagufuliYa kwake yanalipiwa hana shida, niliyaona kwenye atcl nikashangaa kabisa
Kuna mzee mmoja yeye huwa anavutia sigara bwege asa Yale maneno ya wanasiasa eti anaongeza hekima
Laweza kuwa linaukweli hili100%Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.
Kwa kifupi magazeti yaliyobaki baada ya mauzo hurudishwa tena kiwandani.
Yakisharudishwa kule kuna kemikali maalum hutumika kuyafuta maandishi yote na kubaki plain.
Kisha baada ya hapo yanachapishwa tena Kama kawaida.