Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

Hakuna hasara pesa waipata kupitia matangazo yanayochapwa kwenye kurasa zao
 
Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.
Kwa kifupi magazeti yaliyobaki baada ya mauzo hurudishwa tena kiwandani.
Yakisharudishwa kule kuna kemikali maalum hutumika kuyafuta maandishi yote na kubaki plain.
Kisha baada ya hapo yanachapishwa tena Kama kawaida.
Laweza kuwa linaukweli hili100%
 
SWALI NJE YA MADA KIDOGO
Hivi yale magazeti ya kichina uingizwaji wake nchini upoje kwa wanaoelewa hili???
 
Back
Top Bottom