Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

Deva

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
1,238
Reaction score
1,812
Salaam wakuu.

Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?

Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?

Devion
 
yanauzwa madukani kwaajili ya vifungashio... garage za kupaka magari rangi na matumizi mengineyo kama kuchambia
 
yanauzwa madukani kwaajili ya vifungashio... garage za kupaka magari rangi na matumizi mengineyo kama kuchambia
Pesa iliyotumika inarudi?
 
Back
Top Bottom