EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Wewe dukuduku lako ni faida vs hasara au ni yanapekwa wapi vs yanafanywa nini? Kwa kifupi ni hivi. Magazeti yote yaliyouzwa kama yanakuwa hayajarudisha gharama ya uzalishaji na faida basi hapo kampuni inakuwa imepata hasara. Yale yanayobaki yanaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali japo fedha itakayopatikana haitaweza kufidia hasara kama ipo. 1. Recycline: Yanapelekwa viwandani na kutengezwa upya kuwa karatasi. (hili sijui kama Tanzania lipo) 2. Kuuzwa madukani na sehemu mbali mbali kwa ajili ya kufungia bidhaa au kutengenezea bahasha nk.How? Recyling inatosha kufidia hasara? Au inatosha kurudisha gharama za utengenezaji wa gazeti hilo?
mikoa maskini hutumia kuchambia.Salaam wakuu.
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?
Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?
Devion
Hata mimi nilisikiaga hivyo, ngoja nijaribu kumuulz mzee mmja jirani yetu anafnya kazi huko mwananchi ni kitengo nadhani yeye atakuwa na majibu kamili..Niliwahi kusikia kuwa yanarudishwa kwenye kampuni husika ila sina uhakika na hili...
Inarudi ikipata miguuPesa iliyotumika inarudi?
Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.Salaam wakuu.
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?
Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?
Devion
Huwa wanayarudisha kwa wakala mkubwa walipochukulia...Pesa iliyotumika inarudi?
Ndio think tank hao [emoji2][emoji2][emoji2]Swali ni la msingi sana ila wanaojibu sasa, hadi uzi unageuka kuwa kichefuchefu
Mkuu inaonesha ww ni mtumiaji mzuri sana wa toiler papers.Haswa yale ya Tanzanite toilet paper zake huwa ni laini na zinafaa sana kuchambia huwa zinasafisha mambo yote.
Mimi nimevutiwa sana na Toilet papers baada ya Kuligundua gazeti la Tanzanite.Mkuu inaonesha ww ni mtumiaji mzuri sana wa toiler papers.
Madukuduku yangu ni yote hayo mawili mkuu, asante kwa elimu hiyo.Wewe dukuduku lako ni faida vs hasara au ni yanapekwa wapi vs yanafanywa nini? Kwa kifupi ni hivi. Magazeti yote yaliyouzwa kama yanakuwa hayajarudisha gharama ya uzalishaji na faida basi hapo kampuni inakuwa imepata hasara. Yale yanayobaki yanaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali japo fedha itakayopatikana haitaweza kufidia hasara kama ipo. 1. Recycline: Yanapelekwa viwandani na kutengezwa upya kuwa karatasi. (hili sijui kama Tanzania lipo) 2. Kuuzwa madukani na sehemu mbali mbali kwa ajili ya kufungia bidhaa au kutengenezea bahasha nk.
Magazeti ni matangazo... gazeti kama halina tangazo ndo uanze kuuliza hasara... sales za magazeti ni kidogo tuuPesa iliyotumika inarudi?
Yale yanayobaki kwa wauzaji (hayajauzika) wanarudisha kwa wachapaji yanafutwa yanatumika tena.Salaam wakuu.
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?
Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?
Devion
Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.
Kwa kifupi magazeti yaliyobaki baada ya mauzo hurudishwa tena kiwandani.
Yakisharudishwa kule kuna kemikali maalum hutumika kuyafuta maandishi yote na kubaki plain.
Kisha baada ya hapo yanachapishwa tena Kama kawaida.
Exactly mimi aliniambia muuzaji tu coz nilimuuliza haya yanayobaki hasara ya nani?Yale yanayobaki kwa wauzaji (hayajauzika) wanarudisha kwa wachapaji yanafutwa yanatumika tena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mzee mmoja yeye huwa anavutia sigara bwege asa Yale maneno ya wanasiasa eti anaongeza hekima