Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

Gazeti lisiponunuliwa linaenda wapi?

hawa wanaochambia magazeti ndio wanaopataga mgolo aka Bawasiri
 
Siku hizi magazeti yanayobaki hupelekwa kwenye kampuni za kutwngenezea zile trei za mayai
 
How? Recyling inatosha kufidia hasara? Au inatosha kurudisha gharama za utengenezaji wa gazeti hilo?
Wewe dukuduku lako ni faida vs hasara au ni yanapekwa wapi vs yanafanywa nini? Kwa kifupi ni hivi. Magazeti yote yaliyouzwa kama yanakuwa hayajarudisha gharama ya uzalishaji na faida basi hapo kampuni inakuwa imepata hasara. Yale yanayobaki yanaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali japo fedha itakayopatikana haitaweza kufidia hasara kama ipo. 1. Recycline: Yanapelekwa viwandani na kutengezwa upya kuwa karatasi. (hili sijui kama Tanzania lipo) 2. Kuuzwa madukani na sehemu mbali mbali kwa ajili ya kufungia bidhaa au kutengenezea bahasha nk.
 
Salaam wakuu.

Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?

Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?

Devion
mikoa maskini hutumia kuchambia.
 
Niliwahi kusikia kuwa yanarudishwa kwenye kampuni husika ila sina uhakika na hili...
Hata mimi nilisikiaga hivyo, ngoja nijaribu kumuulz mzee mmja jirani yetu anafnya kazi huko mwananchi ni kitengo nadhani yeye atakuwa na majibu kamili..
 
Salaam wakuu.

Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?

Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?

Devion
Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.
Kwa kifupi magazeti yaliyobaki baada ya mauzo hurudishwa tena kiwandani.
Yakisharudishwa kule kuna kemikali maalum hutumika kuyafuta maandishi yote na kubaki plain.
Kisha baada ya hapo yanachapishwa tena Kama kawaida.
 
Wewe dukuduku lako ni faida vs hasara au ni yanapekwa wapi vs yanafanywa nini? Kwa kifupi ni hivi. Magazeti yote yaliyouzwa kama yanakuwa hayajarudisha gharama ya uzalishaji na faida basi hapo kampuni inakuwa imepata hasara. Yale yanayobaki yanaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali japo fedha itakayopatikana haitaweza kufidia hasara kama ipo. 1. Recycline: Yanapelekwa viwandani na kutengezwa upya kuwa karatasi. (hili sijui kama Tanzania lipo) 2. Kuuzwa madukani na sehemu mbali mbali kwa ajili ya kufungia bidhaa au kutengenezea bahasha nk.
Madukuduku yangu ni yote hayo mawili mkuu, asante kwa elimu hiyo.
 
Hata mimi nilisikiaga hivyo, ngoja nijaribu kumuulz mzee mmja jirani yetu anafnya kazi huko mwananchi ni kitengo nadhani yeye atakuwa na majibu kamili..
Sawa mkuu twasubiri jibu
 
Salaam wakuu.

Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi?

Hasara inafidiwa vipi ya gazeti kutokununuliwa? Kampuni ya uendeshaji magazeti wanaendesha kwa mfumo gani wa kuzuia hasara itakayojitokeza pindi lisiponunuliwa?

Devion
Yale yanayobaki kwa wauzaji (hayajauzika) wanarudisha kwa wachapaji yanafutwa yanatumika tena.
 
Mkuu hata Mimi nilikuwa najiuliza swali Kama Hilo kwa muda mrefu sana ila Kuna mtu aliwah kufanya kazi kwenye hizo kampuni ndio akanifafanulia vizur.
Kwa kifupi magazeti yaliyobaki baada ya mauzo hurudishwa tena kiwandani.
Yakisharudishwa kule kuna kemikali maalum hutumika kuyafuta maandishi yote na kubaki plain.
Kisha baada ya hapo yanachapishwa tena Kama kawaida.
Yale yanayobaki kwa wauzaji (hayajauzika) wanarudisha kwa wachapaji yanafutwa yanatumika tena.
Exactly mimi aliniambia muuzaji tu coz nilimuuliza haya yanayobaki hasara ya nani?
 
Back
Top Bottom