Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

Unconditional bae imembeba sana kiba mwaka huu. Hata MTV ndio iliyompeleka hivi hivi thubutu. Awashukuru sana wakenya wale.
 
Alikiba anakichwa kizito sana pia ni mgumu kukubali mabadiliko yanayotekea kika siku mwishowe hadi darasa anamkimbiza [emoji16] [emoji16]
 
Unconditional bae imembeba sana kiba mwaka huu. Hata MTV ndio iliyompeleka hivi hivi thubutu. Awashukuru sana wakenya wale.
Mwenzako Anakuambia Hataki Kufanya Collabo Ili Tumuone Hamuigi Diamond Halafu Anaenda Kufanya Collabo Na M.I Na Sauti Sol

- Akisema Hataki Tuzo Maana Muziki Wake Ni Mkubwa Kuliko Tuzo Halafu Anaenda Kujaza Fomu Za Kushiriki Tuzo Za EATV

- Kumshabikia Na Kumsikiliza Huyu Mtu Unatakiwa Uwe Na Akili Ya Uzuzu Kabisa

- Na Kibaya Zaidi Ukimshirikisha Kwenye Wimbo Wako - Mkiwa Kwenye Majukwaa Anakuamrisha Kama Mtoto

- Kwenye Mitandao Ya Kijamii Haffollow Mtu Wa Kumtakia Mtu Yeyote Happy Birthday - Yeye King Bana, Sisi Ndo Tunatakiwa Kumsifu ,kumpigia Kura, Kumfollow - King !
 
Saida Kaloli alitesa sana hivyo ni wazi ukiigiza wimbo wake nawe ni lazima ufuate mkondo huo huo!
 
Fanya kuedit hiyo post wimbo wa unconditionally bae ni wa pamoja saut sol na alikiba [emoji116]
Umejitahidi kujenga hoja ya maana,lakini sasa ukitaka KUDHIBITISHA KUWA HUO WIMBO UNA MKANGANYIKO ANGALIA HATA MWANZO WA HIYO VIDEO IMEANDIKWA "Sauti sol feat Alikiba" (na hata hapo ukiangalia kwa mbali unaona hayo maandishi) Kwahiyo musiwaone wabongo wajinga kwa kuuita ni wimbo wa wakenya kwavile una mkanganyiko sana,kwingine feat na kwingine ni colabo.
 
Acha upuuzi wimbo wa pamoja huwa hamna neno ft...huwa kuna alama ya &
 
Hivi wimbo wa Salome ni wa Diamond au Rayvany?
Mbona mnamnyang'anya kijana wa watu wimbo wake jamani?

Halafu katika huu wimbo Chibu kapotezwa sana na Ray, nashauri asijaribu kushiriki wimbo mwingine tena na huyu kijana.
Boss kagaragazwa vibaya hadi aibu.
 
We jamaa una majungu
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] shikamoo madam nifah
 
Acha upuuzi wimbo wa pamoja huwa hamna neno ft...huwa kuna alama ya &


Ebooooo kwani Ali hayumo kwenye hiyo list mpaka tulazimishe Ebooooo? !

Fanya kuedit hiyo post wimbo wa unconditionally bae ni wa pamoja saut sol na alikiba [emoji116]

Acha kupotosha watu kwa maelezo ya uongo huo wimbo ni wa pamoja na maelezo wameshatoa kwenye page zao [emoji116]
Hebu angalia huu mkanganyiko
halafu nipe jibu

 
Elimu yako Ni duni Sana kisa team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…