Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

hili gazeti nalo nahisi ni la kiuni huni tu
 
Cc my unconditionally bae The bold
Uache ubishi [emoji379]
Mama hii ngumu kumeza..

Ndio leo kwa mara ya kwanza nasikia "director wa video alikosea kuandika maelezo ya Nyimbo"

Jiulize, kwani director anapeqa na nani tittle ya wimbo?? Si wasanii ndio wanampa..

Na kabla video hajawakabidhi rasmi director huwa anamtumia "demo" msanii amwambie arekebishe kitu gani..
So kama wimbo umetoka umeandikwa "Sauti Sol featuring Ali kiba" maana yake menejimenti zote zilikubaliana na hilo..

Si ajabu wimbo wa baraka ungehit mngesema ni wa pamoja kiba hajashirikishwa!!

Watoto wa kariakok mnapenda sana kufosi.. Nikikumbuka tuzo ya MTV siwashangai kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hongera alikiba...ohh apology;hongera diamond
 
basi sawa.. mkuu
ila ...
kama waliweka "featuring" wakati ni wimbo wa pamoja
hilo ni tatizo..
maana hayo maelezo sio kila mtu atayatafuta
si umeona hadi nchi za nje wanautambua kuwa ni wimbo wa sauti sol ila kiba ameshirikishwa?
Pamoja mkuu video nyingine hii wakati wanaifanya hiyo ngoma wameweka maelezo mwanzoni[emoji116]
 
umesema ngum kumeza
umenikumbusha mambo ya mikeka ya million kadhaa kwa Jero tu [emoji2][emoji2][emoji2]

unajua bhana! ule wimbo hata usingeandikwa tittle au mtu anauangalia kwa mara ya kwanza ila kwa kuchelewa kidogo (yaani asishuhudie ile tittle ya wimbo )
kama atakuwa na akili timamu lazima atagundua tu "K" alishirikishwa..

[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Ha ha ha
Comments bora kabisa ktk huu Uzi.
 
Wimbo wa Baraka ft Ali Kiba haujahit?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huwa unafuatilia chats za miziki ktk radio stations babe?
Au mpaka wimbo uusikie kwenye bodaboda ndio ujue umehit?

Naupenda sana ule wimbo,mafundi wawili wamekutana basi balaa tupu.

Kile kipande cha Kiba vepeeee?[emoji39] [emoji39] [emoji39]

[emoji444] Visa na mashaka tele,ugomvi kutwa nzima
Nikakosa na mahaba tele,ndio kwako nimekumbuka
Kudeka na kubembelezwa...ninapokasirikaaaa [emoji444]
Acha weweeee
 
Babes you know me! Kusikiliza redio/kuangakia TV na mimi wapi na wapi??

Wimbo ukihit utausikia tu kitaa kila kona ukikatiza, utasikia watu wanauimba.. But hii ya baraka na kiba bila bila, siisikii..

Hiyo mistari naipenda though, natamani nikuimbie na acoustic guitar.. [emoji6]
 
Kama hujui ni kitu gani management ya Ali ilisema baada ya ule wimbo kutoka sijui unapata wapi ujasiri wa kupinga ni wazi unapinga kitu usichokijua kwa chuki tu na sio kwa facts kama mwenyewe unajinasibu.

Kwetu tunaamini asiejua maana aambiwi maana...maana hata akiambiwa maana hataipotosha.

Sauti Sol (Kenya) and Alikiba (Tanzania) release UNCONDITIONALLY BAE, adanceable love ballad. In the song, Sauti Sol and Alikiba sing about the difficulty of finding love in the modern day world. The music video is poised to unite fans across East Africa and Africa at large,through dance and its strong message.

[HASHTAG]#SautiSolAlikiba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#UnconditionallyBae[/HASHTAG]

Shot in Kenya’s beautiful North Coast of Mombasa at the English Point
Marina, the official video of UNCONDITIONALLY BAE has been shot by
the super talented South African video director Justin Campos of
Gorilla Films.

Written by Sauti Sol and Alikiba

Hayo ndio maelezo ya huo wimbo kwenye YouTube wapi walipoandika kuwa Ali kashirikishwa?!
Au kisa umeona jina la Ali lipo mbele alafu la Sauti Sol lipo mwanzo!?!
 
We ndo hujui sasa
 
Wewe tokea lini ukakubali ngoma ya tofauti na WCB imehit?
Kama uliweza kukataa muziki ya Darassa haijahit itakuwa nisamehe?
Tena Kiba akiwemo?

Excuse me bae [emoji19]

Awwwwww I wish too...
Itabidi unifanyie surprise kwenye dinner date siku moja.
 
Unajisikiaje unavyotumia nguvu kuthibitisha kuwa ni wimbo wa pamoja!

Yaani kiukweli hata kama ni kweli ni wimbo wa pamoja aisee nadhani watakaoelewa hilo ni watu wachache mno!

Maana tittle ya wimbo ndio itakayoaminiwa kwa urahisi na kwa haraka sana.. (hilo ni janga la "K" amedhurumiwa haki yake kiaina)

Mi naona hata hainogi kabisaaa
 
Wewe tokea lini ukakubali ngoma ya tofauti na WCB imehit?
Kama uliweza kukataa muziki ya Darassa haijahit itakuwa nisamehe?
Tena Kiba akiwemo?

Excuse me bae [emoji19]

Awwwwww I wish too...
Itabidi unifanyie surprise kwenye dinner date siku moja.
Mbona naikubali Averina - Kiba & Aby skills [emoji23] [emoji23]


Yes hny! Kwenye dinner date moja nitakusuprise with a beautiful romantic verse kutoka kwenye ngoma ya kiba nakuimbia with acoustic guitar.. [emoji4] [emoji4]
 
Mbona naikubali Averina - Kiba & Aby skills [emoji23] [emoji23]


Yes hny! Kwenye dinner date moja nitakusuprise with a beautiful romantic verse kutoka kwenye ngoma ya kiba nakuimbia with acoustic guitar.. [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mchokozi sana ujue?
Why Averina?

Awwwwww [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] ndio mambo zile napendaga baby [emoji39]
 
Hivi Ojuelegba ni ya mwaka gani? hii list waliandikia Bar sio bure mbona ni pumba tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mchokozi sana ujue?
Why Averina?

Awwwwww [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] ndio mambo zile napendaga baby [emoji39]
Averina ndio wimbo bora wa kiba mwaka huu.. [emoji4]

You will love it hny! Me singing for you.. [emoji7]
 
Someni na maoni ya watu katika hiyo site mimi nimeona mmoja amawashambulia maproducer wa Afrika kuhusu matumizi mengi na yasiyo ya lazima ya " outotune" effect inayobadilisha sauti ya asili ya mtu, hivo ninakubaliana nayo kwamba maproducer wapunguze hiyo kitu ili tusikie uasili wa mwimbaji.

"omg so much Autotune! I hope African producers get over that 'tool' more quickly than US & UK producers did! It destroyed US mainstream music for a solid decade!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…