Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii

Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
******
 
Daaaa team ztawauwa hizi jaman Alikiba hana hisa kwa ule wimbo ata 2% hakuna nyimbo n ya Saut Sol ndiomaana wamechukuwa tuzo kibao zmepitiliza kenya[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Averina ndio wimbo bora wa kiba mwaka huu.. [emoji4]

You will love it hny! Me singing for you.. [emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] I knew that, hili ndilo lilikuwa lengo lako tokea mwanzo.

Awwwwww hiyo siku nitalia kwa furaha [emoji7] [emoji39]
 
I miss kingkibakuli there......mshindi wa tuzo tatu za eatv.

Sio haki kabisaaaa.....
 
ukweli ni kuwa unconditional bae ni wimbo wa Sauti Sol waliomshirikisha kiba...na sio wimbo wa kiba
Mimi huwa siendi youtube kuangalia video na kuondoka huwa napitia na maelezo ya walioweka video na kwanye page ya saut sol nilikutana na maelezo hayo chini[emoji116]
 
Sijauona Aje 'wimbo bora wa mwaka'
 
Wakuu nimepitia maelezo ya kwenye hiyo video vizuri na nilicho elewa huwo wimbo ni wa pamoja aliye chukuwa hiyo video ndio kachanganya kwenye kuingiza hayo maneno pitieni maelezo vizuri hapo chini[emoji116]
Mkuu usiwe kama sio muelewa,ANAYECHUKUA VIDEO ANAANDIKA KUTEGEMEA MAELEKEZO ALIOPEWA NA WENYE VIDEO, sasa huu wimbo kama ni wapamoja basi ukubali pia kuwa kuna sintofahamu nyingi kati ya sauti sol na kiba.
 
Mkuu usiwe kama sio muelewa,ANAYECHUKUA VIDEO ANAANDIKA KUTEGEMEA MAELEKEZO ALIOPEWA NA WENYE VIDEO, sasa huu wimbo kama ni wapamoja basi ukubali pia kuwa kuna sintofahamu nyingi kati ya sauti sol na kiba.
Ali "K" anawapa shida sana washabiki wake..
Maana naona wanatumiaga nguvu sana kutafuta haki..!
 
Acha chuki si uandike Diamond tu.....sasa dimond ndio nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…