Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

Daaaa team ztawauwa hizi jaman Alikiba hana hisa kwa ule wimbo ata 2% hakuna nyimbo n ya Saut Sol ndiomaana wamechukuwa tuzo kibao zmepitiliza kenya[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio maana unaitwa kungun ebooooooo
 
Kwa hiyo Rayvany yupo namba 2?
Nimefuatilia huu mjadala ila nimependa mtazamo wako.

Tulitakiwa kujisifu Watanzania wako watatu kwenye hii orodha. Kwamba hata kama walifanya collaboration ama featuring, uwepo wao umeboresha wimbo husika.

Hizi timu zinaua muziki wetu.
 
mashabiki wa kiba bana...mnataka kuuiba wimbo wa wakenya...hahaha
 
>>> vipi BALOZI wa FARU john yupo 55 BORA au HATA 1000 Hayupo ?? >>kuondoa matusi kutoka kwa kina ''kiuno'' waweke list yoote>>
 
simba
 
weka mkataba tuone.
 
Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii

Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
Alikiba alishilikishwa utasemaje yake hapo itatambulika kenye Tz mmewakilishwa na Diamond
 
haya sawa wameshare kwa hiyo tusemje tz au kenya?
 
Orodha Mbona umeitype badala ya kuiscreenshort kama ulifanaya kwenye taarifa ya awali!
Nna mashaka na ukweli wa hii post yako!
AMEFANYA EDIT WALA HAJASCREEN SHOT TOVUTI NZIMA HA HA HA POLE YAO TIMU DOMO
 
Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii

Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
Umekurupuka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haiwezekani tukubali hivi hivi tu. Inabidi menagement ya King ipeleke malalamiko huko The Guardian wasituletee ujinga. Haya sasa hivi twendenu Instagram tukawatukane Sauti Sol, hawawezi kusema wimbo ni wao peke yao. Hiyo haikubaliki wasituletee ubwege.
 
Imepenyaa!!
 
Mnawasifia Kiba na Diamond, je wanalipa kodi?? Au ndo wanaiba stahiki ya watanzania na kuwafanya wasipate huduma kwa kutokulipa kodi??? Unapotangaza umenunua nyumba south afrika je hiyo income source yake ililipa kodi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…