Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwa hiyo Rayvany yupo namba 2?Yupo namba 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Rayvany yupo namba 2?Yupo namba 10
Mashabiki wa Ally K mna shida sana.... humjui Diamond kweli au chuki..?Acha chuki si uandike Diamond tu.....sasa dimond ndio nani
Ndio maana unaitwa kungun eboooooooDaaaa team ztawauwa hizi jaman Alikiba hana hisa kwa ule wimbo ata 2% hakuna nyimbo n ya Saut Sol ndiomaana wamechukuwa tuzo kibao zmepitiliza kenya[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nimefuatilia huu mjadala ila nimependa mtazamo wako.Kwa hiyo Rayvany yupo namba 2?
simbaGazeti ya the guardian la uingereza litemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa africa.
Katika orodha hiyo tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2,
Diamond platnumz kupitia wimbo wake wa salome amefanikiwa kushika nafasi ya 2 huku, nafasi ya kwanza ikienda nigeria kwa kuchukuliwa na msanii Tekno na wimbo wake wa Pana
View attachment 449206
Orodha kamili
1. Pana -- tekno
2. Salome -- diamond ft rayvany
3. Hollup -- mr eazi ft joey B and danny krame
4. No kissing baby --- patoranking ft sarkodie
5. Wololo --- babe wodumo ft mampintsha
6. Dance for mr --- eugy ft mr. Eazi
7. Ngudu --- kwesta ft cassper nyovest
8. Koffi anan --- yemi alade
9. Soweto baby ----- dj mophorisa ft wizkid
10. Uncondionational bae --- sauti sol ft alikiba
weka mkataba tuone.We msukule wa madale....Wimbo wa Unconditional bae ni Wimbo unaomilikiwa kwa pamoja Kati ya Ali na Sauti Sol..
Ni kama ilivyo kwa Make me sing ni ngoma ya pamoja Kati ya A.K.A na Dimond.
Hao walioweka hiyo list hawajui kitu na wewe unae-sapoti pia hujui kitu
Alikiba alishilikishwa utasemaje yake hapo itatambulika kenye Tz mmewakilishwa na DiamondUncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii
Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
haya sawa wameshare kwa hiyo tusemje tz au kenya?We msukule wa madale....Wimbo wa Unconditional bae ni Wimbo unaomilikiwa kwa pamoja Kati ya Ali na Sauti Sol..
Ni kama ilivyo kwa Make me sing ni ngoma ya pamoja Kati ya A.K.A na Dimond.
Hao walioweka hiyo list hawajui kitu na wewe unae-sapoti pia hujui kitu
Namba kumi hapo jaribu kushuka shukaWapi Ali Kiba????
Saut Sol na Nani?Wewe kweli chenga wimbo ni wa sauti sol na unatambulika hivyo
AMEFANYA EDIT WALA HAJASCREEN SHOT TOVUTI NZIMA HA HA HA POLE YAO TIMU DOMOOrodha Mbona umeitype badala ya kuiscreenshort kama ulifanaya kwenye taarifa ya awali!
Nna mashaka na ukweli wa hii post yako!
Darasa kawaambia "acha maneno weka muziki "AMEFANYA EDIT WALA HAJASCREEN SHOT TOVUTI NZIMA HA HA HA POLE YAO TIMU DOMO
Umekurupuka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii
Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
Imepenyaa!!Haiwezekani tukubali hivi hivi tu. Inabidi menagement ya King ipeleke malalamiko huko The Guardian wasituletee ujinga. Haya sasa hivi twendenu Instagram tukawatukane Sauti Sol, hawawezi kusema wimbo ni wao peke yao. Hiyo haikubaliki wasituletee ubwege.