GB WhatsApp mambo yamebuma

GB WhatsApp mambo yamebuma

Mimi sio mtumiaji wa Whatsapp tofauti na official,

Ila binafsi huwa namuona mtu anayeponda mtu ambae anatumia whatsapp tofauti na official ni kama hajielewi.

Watu wana machaguo ya huduma wanazozipenda, Kwanini uwe na mentality mbovu kuhusu machaguzi yao ?
Uhalisia ni kwamba wengi wanaoponda ni iPhone users ambao hizo apps kwao ni mtihani.

Ipo raha ya kutumia mods app asikuambie mtu, android inakupa uhuru wa kuinjoy simu yako kuifanya utakavyo.
 
Whatsapp GB ni walikuwa wanawaharibia sana Meta, kampuni nyingi za software n.k huwa wana features wanazo tayari wanakuwa wanaachia taratibu wanatangaza wameongeza feature 1,23....

Sasa GB walikuw wa5eng3 sana yaani walikuwa wanaachia features kabla ya muda, unaweza kuta labda baadhi ya features Meta walitaka kuziuza sasa GB na wenzie wanaharibu... Naona meta kaamua kuwapiga chini.
 
Sio ivo tuu... unakuta mtu hauoni yupo online, kumbe anakuzoom tu na message kasoma.... that sh*t was exhausting.
Ila hii hata wastup ya kawaida inayo..unaamua tuu kuweka mode hyo ya kutoonekana online unaweza kuselect watu wote wasione au unaotaka ww wasione..ila na ww hutoona hao watu kama wapo online ama la...ila naona ni utoto unakua unaishi kama jambazi..
 
Ila hii hata wastup ya kawaida inayo..unaamua tuu kuweka mode hyo ya kutoonekana online unaweza kuselect watu wote wasione au unaotaka ww wasione..ila na ww hutoona hao watu kama wapo online ama la...ila naona ni utoto unakua unaishi kama jambazi..
Bora hiyo inakua kama umewablock hv maana wote mnakua hamonani. Ila sifagilii upuuz huo hata kdg. Why uish kwa hofu like ukiwa online saa8 watu wakuhis vbaya? Maisha ni yako
 
Nilitumiaga miaka hiyo Gb Whatsapp baadae nikaona ni utoto tu sikuona la maana.
 
Back
Top Bottom