GB WhatsApp mambo yamebuma

GB WhatsApp mambo yamebuma

Muindi achezewi hayapiti masaa asha toboa ozone na vision mpya
Afu mnao tumia officiall whatsup mna jifanya mna IQ kubwa
Wanaotumia official wakiwa wanawasema wenye unofficial wanajikuta IQ ya mbele kumbe nao mafala tuu
 
daaaaah mtu ana view status ila ukienda list ya walio view humuoni
 
Hapo sasa..na hayo hufanywa na vicheche..labda amewapanga hataki wajue yupo online saa 8 usiku.. 😆 😆 😆
Ndo maan huwa sina mda na watu wa namna hio..... full of fake life, na kupotezeana mda tu
 
Mimi siku zote ndo maana sijawahi kutumia hizo whatsapp uchwara, gharama ya kupata loss ya kupoteza taarifa ni kubwa sana. Sijawahi kabisa kushawishika kuzitumia, nawashangaaga sana watu wanaozitumia
 
Mkuu hivi ushaona mtu wa GB,YO na FM wanavyojikuta na hizo un-official zao issues sio machaguo issue ipo kichwani.

Kama ni issue ya privacy pia hizo (legal setting) zipo
Sio hizo za michongo na kuhuni huni.

Mm sifagilii hizo Apps kabisa yani utoto,ushamba wa kijinga tu (hapa mtanisamehe).

Nawasilisha.
Hahaha watu bado wanadunda...wa iran wataiset tena haya mambo hayajaanza leo
 
Wanaotumia Fake tsAp wana Utindio wa Mtazamo, sio ubongo please.
 
Mtaani kuna vitu vingi fake sio tsap tu, hata ma'tractoor ni fake now days.
 
Hizo wasap zina tofauti gani na hii official?
Nasikia ni sawa na demu wa mtaani (gb whatsapp) ambaye unatumia mastaili yoyote vs mke wa ndani (official whatsapp) unafanya kwa heshima.
 
Oyoo kuna mpya gani huko muhindi bado kataitiwa au... Kama kuna mpya leteni link...
 
Back
Top Bottom