Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
This time around the figures will come out $150bn kuongeza wigo wa mikopo ya wazungu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ground sasa, Njaa.
that is 97billion usd right
Agriculture is now only 21 % of Kenya"s economy down from 32% in the previous rebasing. Kenya inaanza kuwachana na mambo ya ukulima. Wacha malazy waendelee kutuuzia chakula cheaply sisi tukifanya more important work.
Hahaha umetoa povu sana sijui kwa nini. Kilimo ni asilimia ndogo sana ya uchumi wa Marekani na Uchina. Kilimo ni asilimia chini ya tano (5%) ya uchumi wa nchi zilizoendelea. Sisi tunaelekea huko, nyinyi bakini nyuma tu.Inaachana na kilimo wakati Rais wenu katangaza Kunyaland ni taifa la njaa?
Halafu unaweza kuta wewe upo office prime sana umebeba dhamana ya wakunya wenzio, ndio maana hamnaga akili
Marekani na China zinaongoza duniani karibu katika kila aina ya zao, ninyi mnaokufa njaa mnasema kilimo ni uzamani utafkiri mnaweza hata kutengeneza opener!
Largest contributor in us economy is 13% in gdp with 1.8 trillion , kwa akili yako finyu 5% with 1.2 trillion ni ndogo?Hahaha umetoa povu sana sijui kwa nini. Kilimo ni asilimia ndogo sana ya uchumi wa Marekani na Uchina. Kilimo ni asilimia chini ya tano (5%) ya uchumi wa nchi zilizoendelea. Sisi tunaelekea huko, nyinyi bakini nyuma tu.
Ripoti ya njaa imeshatoka[emoji38][emoji38][emoji38]Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
Nimesema agriculture ni less than 5% ya US Gdp. Ni nini ngumu kuelewa hapo???Largest contributor in us economy is 13% in gdp with 1.8 trillion , kwa akili yako finyu 5% with 1.2 trillion ni ndogo?
View attachment 1930771
Na toka lini nchi jangwa na fukara kama Kunyaland nchi ambayo mpaka kesho raia wake wanakufa kwa njaa ikajiweka level 1 na Marekani?
Ila aliewanyima akili ninyi aliwaweza sana
Njaaa nayo inazidi kuwaua wakenya[emoji1][emoji1][emoji1]
Agriculture is now only 21 % of Kenya"s economy down from 32% in the previous rebasing. Kenya inaanza kuwachana na mambo ya ukulima. Wacha malazy waendelee kutuuzia chakula cheaply sisi tukifanya more important work.
Hao ndio wakunya, Sasa umeamza kuwajua vizuri,[emoji1][emoji1][emoji1]Inaachana na kilimo wakati Rais wenu katangaza Kunyaland ni taifa la njaa?
Halafu unaweza kuta wewe upo office prime sana umebeba dhamana ya wakunya wenzio, ndio maana hamnaga akili
Marekani na China zinaongoza duniani karibu katika kila aina ya zao, ninyi mnaokufa njaa mnasema kilimo ni uzamani utafkiri mnaweza hata kutengeneza opener!
Huna akili wewe mkunya, hivi unaanzaje kuongelea hunger stricken shithole kwenye sentence 1 na worlds superpower?Nimesema agriculture ni less than 5% ya US Gdp. Ni nini ngumu kuelewa hapo???
Hiyo 5% inawatosheleza kwa chakula na ziada wanatoa misaada ya vyakula kwenda failed states [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahaha umetoa povu sana sijui kwa nini. Kilimo ni asilimia ndogo sana ya uchumi wa Marekani na Uchina. Kilimo ni asilimia chini ya tano (5%) ya uchumi wa nchi zilizoendelea. Sisi tunaelekea huko, nyinyi bakini nyuma tu.
Aisee haya maviza kichwani 😅😅😅Hao ndio wakunya, Sasa umeamza kuwajua vizuri,[emoji1][emoji1][emoji1]
3/1000 Contraction.Naona mkipigwa kwenye uchumi mnakimbilia njaa na ukame