Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Ukame
Kwani misri au moroko hakuna ukame mbona haya majanga ya njaa hatuyaskii kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukame
Ubavu hana 😅😅😅
Njaa imeng'ata akili
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
This time around the figures will come out $150bn kuongeza wigo wa mikopo ya wazungu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ground sasa, Njaa.
Dada zenu wanaongoza kufia uarabuni na wengine wanauzwa Libya utumwa usibisheKwa habari yako, most of the remittances zinatoka USA sio kwa waarabu huko.
Well said.Kupunguzika kwa % ya kilimo kwenye GDP haimaanishi eti kwamba uwekezaji au mazao ya kilimo yamepungua, inamaanisha sector zengine za uchumi zimeanza kuleta mapato mengi kuliko kilimo.
Nchi zote duniani huanzia na kutegemea kilimo, Kwa mfano Europe walikua agrarian economy alafu wakaacha kutumia mikono na majembe wakaanza kutumia mshini kulima ikawa inaitwa mechanised agriculture...
Alafu kukawa na muda wakapitia 'industrial revolution' ndo mwishowe wakaanza kuitwa industrialized economies.... Sahii economy za 1st world zinaitwa 'knowledge based' ama 'innovation based' economies...
Tofauti ya knowledge based economy na agrarian ni kwamba agrarian economy, hauhitaji ujuzi mwingi kua tajiri kuliko Kila mtu.. unaweza kua mkulima wa kutumia jembe na ukalima kutumia nguvuzo na ukapata mazao mengi, baada ya kuuza ukawa we ndo mtu tajiri kuliko watu wote eneo lako.
Lakini knowledge based economy ni katoto ka miaka kumi na sita kanaweza kuvumbua technolojia au mfumo flani na akauza au akaanzisha biashara na akawa tajiri kuliko watu wote kwasababu yeye ndo alitumia akili zaidi kuliko wote...
Hii ndo maana mahali kama marekani, licha ya kua wanazalisha Kila aina ya chakula kama ulivyosema, mabilionea wengi wanatoka kwa Technology na service industry... Sector ambazo ni very high skilled sectors mwenye akili kuliko wote ndo anapenya. Ndo maana utapata global intellectual property rights za patent karibia zote ni za EU na US manake Kila mbunifu anajaribu kulinda alichounda manake hio idea ndo inatengeza Hela ndefu kuliko atakaetumia hicho kifaa kwa biashara yake.
Sasa sisi Kenya tumeanza kutoka kwa kutegemea ukulima tunaelekea kuanza kutegemea ujasiriamali, ubunifu, ujuzi, huduma sector ambazo zinaweza kuleta hela ndefu kuliko Yale mapato yanayotokana na ukulima, kwa mfano sector ya online advertising sahii Taifa la Kenya linaingiza karibia $1Billion kutokana na online advertising (hio pekee imeshinda pato la Tz biggest agriculture export -korosho)
Radio advertising inazalisha $300 million USD in Kenya (3rd highest radio revenue in the world!) --- pato lenu la mahindi nchi nzima haifiki hio!
Hio remittance naona imekuuma sana maana nyinyi hamna remittance kwa sababu Malazy hawapendi kuenda ulaya. Huwa mnapenda kubaki hapo Lazyland na kukaa vijiweni tu mkipiga soga.Dada zenu wanaongoza kufia uarabuni na wengine wanauzwa Libya utumwa usibishe
Hamna sector yoyote Kunyaland iliyoajiri wengi ukiondoa kilimo, bado hicho kilimo kilichoajiri zaidi ya 99% ya wakenya kinachangia almost zero kwenye gdp
Ila wakunya chini ya 1 million as diaspora wanachangia pesa nyingi kuliko wakunya million 58 back shithole 😅😅😅
Wakunya million 58 wanalima mawe ndio maana pamoja na wingi wao kwenye kilimo bado mnakufa njaa 😅😅😅Hio remittance naona imekuuma sana maana nyinyi hamna remittance kwa sababu Malazy hawapendi kuenda ulaya. Huwa mnapenda kubaki hapo Lazyland na kukaa vijiweni tu mkipiga soga.
Kwa habari yako population census ya 2019 inaonyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 47 million pekee. Hio 58 million utakuwa unazungumzia idadi ya Malazy maana nyinyi ndio mpo 58 million.Wakunya million 58 wapo kwenye kilimo cha mawe 😅😅😅
Agriculture inachangia kiasi gani kwenye gdp?Agriculture ndio imeajiri Wakenya wengi zaidi. Inayofuatia ni service sector. Service sector ya Kenya ni zaidi ya 50% of our Gdp
Uongo, fake fake fake data ili Muwe na gdp kubwa 😅😅😅 ndio akili zenu mbovu zilipowafikishaKwa habari yako population census ya 2019 inaonyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 47 million pekee. Hio 58 million utakuwa unazungumzia idadi ya Malazy maana nyinyi ndio mpo 58 million.
So 90% of people contributing to that least amount to show! Na hapo maua ni mzungu na chai ni mzungu, avocado ni Tanzania
Twice but cannot implement even a single small project that Tz implements on its own.It will be official, economy of Kenya will be more than twice that of Tanzania......poleni...hehehehe
Na tanzania wana rebase lini GDP yawexafika111BusdNangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.
Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.