GDP figures za Kenya zinakuwa released leo

Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.

Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.
Imekuwa ngapi sasa?mbna up umekimbia bila data
 
Gdp yetu ni Ksh 10.7 trillion. Una swali lingine?

Hii kes 10.7 Tr imesaidiaje kupunguza UMASIKINI mfano NJAA inayoua watu na MAPIGANO inayopelekea watu kupoteza maisha huko laikipia?
 
Naona sasa umenunua decorder yako ili uweze kuona stations za Kenya. Naona unatazama Citizen tv sana. Habari za Kenya ni moto na changamfu sio kama zenu boring. Njaa na mapigano zitaendelea hata baada ya Kenya kuwa first world. Marekani bado wanapigana marisasi kwenye makanisa na shopping malls. Marekani pia wana watu wanaokosa kupata chakula cha kutosha
 
😛😛😛
Naona unajifariji. Marisasi ya marekani yanahusianaje na a poverty stricken kenya. I can understand you, if you could say, kenya as a country has two worlds. The majority kiberans and the few politicians and whites.
 
Najaribu tu kusema kwamba hata nchi zilizoendelea bado zina malumbano.
 
😛😛😛
Naona unajifariji. Marisasi ya marekani yanahusianaje na a poverty stricken kenya. I can understand you, if you could say, kenya as a country has two worlds. The majority kiberans and the few politicians and whites.
Which poverty are you talking about? Last time I checked Tanzania had more people living in extreme poverty than Kenya. Why are you turning a blind eye to your country's poverty?
 
Kakojoe urudi kuendelea kulala. Maana hata hujui unachoongea.
 
Is it not you who said that Kenya is a poverty-stricken country? Mbona sasa unacatch for just reminding you that Tanzania ina mafukara wengi kuliko Kenya? Najua ukweli mchungu ila zoea tu
 
Kwanza umekula? Mtu hujala hata kuoga, halafu unakuja kuongea na mimi.
 
Wakati unaponda kilimo, billgates kila siku anapiga kelele anaieleza dunia kua future ya uchumi imara iko kwenye kilimo
 
Back
Top Bottom