GDP figures za Kenya zinakuwa released leo

Agriculture is now only 21 % of Kenya"s economy down from 32% in the previous rebasing. Kenya inaanza kuwachana na mambo ya ukulima. Wacha malazy waendelee kutuuzia chakula cheaply sisi tukifanya more important work.
Kumbe ww mda mwingine chenga kabisa, thats very narrow minded ideas...keep it though
 
Inayoongoza ni remittance yaani wale wakenya wanaoosha vyoo vya waarabu gulf na walea vikongwe kwingineko ndio wanaongoza kutuma pesa Kunyaland kuliko pesa inayozalishwa na wakunya wote Kunyaland
Hata ukitutukana bado uchumi wetu ni mkubwa kushinda wenu. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa sectors zingine za Uchumi zinazidi kukua na kuifanya Kenya iwe more developed than other more underdeveloped societies surrounding us.
 
Hata mjadala kuhusu masuala ya uchumi pia ni wa kuingiziwa matusi enyi 'great thinkers'? What a shame! Eti na mnajiita wastaarabu? Jielimisheni bana, GDP sio 'figure' zilizotolewa angani. Huwa zinaafikiwa kupitia takwimu ambazo zina viashiria vingi sana kuhusu masuala nyeti ya ukuaji wa uchumi. Kwa mfano shughuli za kibiashara, takwimu zinazohusu fedha, mapato, export/import n.k, n.k.

Matusi ambayo huwa yanatamalaki kila mara, kwa zaidi ya miaka kumi, yamebadilisha nini kwenye uchumi au GDP ya nchi ya Kenya au hata nchi zingine ukanda huu? Hivi hatuna hata uwezo mdogo tu wa kufanya uchambuzi makinifu na mijadala ya maana, kuhusu masuala haya nyeti, kama binadamu wenye akili timamu?

Jambo ambalo huwa najiliwaza nalo sana ni kwamba mijadala ya aina hii, kwenye jukwaa hili, huwa yanafanywa kwa lugha ya kiswahili, kwa asilimia kubwa. Bure sijui tungekuwa tunazificha nyuso zetu wapi mbele ya waafrika wenzetu na wengine wengi duniani. Kisa aibu za umbumbumbu, ulofa na upumbavu mwingine wa sampuli hiyo, ambao huwa tunaundeleza wazi humu.
 
Inaachana na kilimo wakati Rais wenu katangaza Kunyaland ni taifa la njaa?

Halafu unaweza kuta wewe upo office prime sana umebeba dhamana ya wakunya wenzio, ndio maana hamnaga akili

Marekani na China zinaongoza duniani karibu katika kila aina ya zao, ninyi mnaokufa njaa mnasema kilimo ni uzamani utafkiri mnaweza hata kutengeneza opener!
Kupunguzika kwa % ya kilimo kwenye GDP haimaanishi eti kwamba uwekezaji au mazao ya kilimo yamepungua, inamaanisha sector zengine za uchumi zimeanza kuleta mapato mengi kuliko kilimo.

Nchi zote duniani huanzia na kutegemea kilimo, Kwa mfano Europe walikua agrarian economy alafu wakaacha kutumia mikono na majembe wakaanza kutumia mshini kulima ikawa inaitwa mechanised agriculture...
Alafu kukawa na muda wakapitia 'industrial revolution' ndo mwishowe wakaanza kuitwa industrialized economies.... Sahii economy za 1st world zinaitwa 'knowledge based' ama 'innovation based' economies...

Tofauti ya knowledge based economy na agrarian ni kwamba agrarian economy, hauhitaji ujuzi mwingi kua tajiri kuliko Kila mtu.. unaweza kua mkulima wa kutumia jembe na ukalima kutumia nguvuzo na ukapata mazao mengi, baada ya kuuza ukawa we ndo mtu tajiri kuliko watu wote eneo lako.
Lakini knowledge based economy ni katoto ka miaka kumi na sita kanaweza kuvumbua technolojia au mfumo flani na akauza au akaanzisha biashara na akawa tajiri kuliko watu wote kwasababu yeye ndo alitumia akili zaidi kuliko wote...
Hii ndo maana mahali kama marekani, licha ya kua wanazalisha Kila aina ya chakula kama ulivyosema, mabilionea wengi wanatoka kwa Technology na service industry... Sector ambazo ni very high skilled sectors mwenye akili kuliko wote ndo anapenya. Ndo maana utapata global intellectual property rights za patent karibia zote ni za EU na US manake Kila mbunifu anajaribu kulinda alichounda manake hio idea ndo inatengeza Hela ndefu kuliko atakaetumia hicho kifaa kwa biashara yake.

Sasa sisi Kenya tumeanza kutoka kwa kutegemea ukulima tunaelekea kuanza kutegemea ujasiriamali, ubunifu, ujuzi, huduma sector ambazo zinaweza kuleta hela ndefu kuliko Yale mapato yanayotokana na ukulima, kwa mfano sector ya online advertising sahii Taifa la Kenya linaingiza karibia $1Billion kutokana na online advertising (hio pekee imeshinda pato la Tz biggest agriculture export -korosho)
Radio advertising inazalisha $300 million USD in Kenya (3rd highest radio revenue in the world!) --- pato lenu la mahindi nchi nzima haifiki hio!
 
Maneno mengi ila bado hujatueleza kwann mmepatwa na janga la njaa
 
Hata mjadala kuhusu masuala ya uchumi pia ni wa kuingiziwa matusi enyi 'great thinkers'? What a shame! Eti na mnajiita wastaarabu? Jielimisheni bana, GDP sio 'figure' zilizotolewa angani. Huwa zinaafikiwa kupitia takwimu ambazo zina viashiria vingi sana kuhusu masuala nyeti ya ukuaji wa uchumi. Kwa mfano shughuli za kibiashara, takwimu zinazohusu fedha, mapato, export/import n.k, n.k.

Matusi ambayo huwa yanatamalaki kila mara, kwa zaidi ya miaka kumi, yamebadilisha nini kwenye uchumi au GDP ya nchi ya Kenya au hata nchi zingine ukanda huu? Hivi hatuna hata uwezo mdogo tu wa kufanya uchambuzi makinifu na mijadala ya maana, kuhusu masuala haya nyeti, kama binadamu wenye akili timamu?

Jambo ambalo huwa najiliwaza nalo sana ni kwamba mijadala ya aina hii, kwenye jukwaa hili, huwa yanafanywa kwa lugha ya kiswahili, kwa asilimia kubwa. Bure sijui tungekuwa tunazificha nyuso zetu wapi mbele ya waafrika wenzetu na wengine wengi duniani. Kisa aibu za umbumbumbu, ulofa na upumbavu mwingine wa sampuli hiyo, ambao huwa tunaundeleza wazi humu.
Weh, umeamua kufokea watu leo!
Kuna forums zengine ukienda akili inapanuka lakini hizi za kwetu ata ni kama akili inalemaa, ukizidi kujadili, Kila kukicha ni kama unakua mjinga zaidi kuliko jana... Usipochunga, Miaka michache baadae inakua hauna tofauti na ulikua ukiwakashifu... Hawa jamaa ukiniukuu IMF watakwambia hao ni wachawi, ukitumia WB watakwambia wanachukia Tz, ukitaja KNBS watakwambia wamepika data.... Sasa mtu kama huyo, kilichobaki ni kunukuu nani? Itabidi twende kwa Daktari Omari pale Zanzibar tumlipe kwa mivupa ya albino iliosagwa ili akatupigie Ramli atuambie hali halisi ya GDP... Labda hapo ndo wataamini
 
Results???
Zimetoka au hazijatoka?
 
Hata ukitutukana bado uchumi wetu ni mkubwa kushinda wenu. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa sectors zingine za Uchumi zinazidi kukua na kuifanya Kenya iwe more developed than other more underdeveloped societies surrounding us.
Ukweli siku kwako ni matusi? Kuna kitu mnaexport chenye thamani ya jumla ya remittance kutoka kwa muarabu?
 
Janga na uchumi ni vitu viwili tofauti, sio km albino na uchawi hko kwenu..yani lazima viambatane
Hamjaanza kufa njaa jana ni hivyo tu kunyata hana means yoyote uchumi wote upo kaburini so lazima apayuke Wazungu wengi zaidi wamsikie kadri iwezekanavyo
 
Kupunguzika kwa % ya kilimo kwenye GDP haimaanishi eti kwamba uwekezaji au mazao ya kilimo yamepungua, inamaanisha sector zengine za uchumi zimeanza kuleta mapato mengi kuliko kilimo.

Nchi zote duniani huanzia na kutegemea kilimo, Kwa mfano Europe walikua agrarian economy alafu wakaacha kutumia mikono na majembe wakaanza kutumia mshini kulima ikawa inaitwa mechanised agriculture...
Alafu kukawa na muda wakapitia 'industrial revolution' ndo mwishowe wakaanza kuitwa industrialized economies.... Sahii economy za 1st world zinaitwa 'knowledge based' ama 'innovation based' economies...

Tofauti ya knowledge based economy na agrarian ni kwamba agrarian economy, hauhitaji ujuzi mwingi kua tajiri kuliko Kila mtu.. unaweza kua mkulima wa kutumia jembe na ukalima kutumia nguvuzo na ukapata mazao mengi, baada ya kuuza ukawa we ndo mtu tajiri kuliko watu wote eneo lako.
Lakini knowledge based economy ni katoto ka miaka kumi na sita kanaweza kuvumbua technolojia au mfumo flani na akauza au akaanzisha biashara na akawa tajiri kuliko watu wote kwasababu yeye ndo alitumia akili zaidi kuliko wote...
Hii ndo maana mahali kama marekani, licha ya kua wanazalisha Kila aina ya chakula kama ulivyosema, mabilionea wengi wanatoka kwa Technology na service industry... Sector ambazo ni very high skilled sectors mwenye akili kuliko wote ndo anapenya. Ndo maana utapata global intellectual property rights za patent karibia zote ni za EU na US manake Kila mbunifu anajaribu kulinda alichounda manake hio idea ndo inatengeza Hela ndefu kuliko atakaetumia hicho kifaa kwa biashara yake.

Sasa sisi Kenya tumeanza kutoka kwa kutegemea ukulima tunaelekea kuanza kutegemea ujasiriamali, ubunifu, ujuzi, huduma sector ambazo zinaweza kuleta hela ndefu kuliko Yale mapato yanayotokana na ukulima, kwa mfano sector ya online advertising sahii Taifa la Kenya linaingiza karibia $1Billion kutokana na online advertising (hio pekee imeshinda pato la Tz biggest agriculture export -korosho)
Radio advertising inazalisha $300 million USD in Kenya (3rd highest radio revenue in the world!) --- pato lenu la mahindi nchi nzima haifiki hio!
Wewe mkunya unamuandika nani makala humu?

Ukweli ni kwamba bila remittance kutoka kwa waosha vyoo wa waarabu Kunyaland hamna kitu na bado njaa inawafinya
 
Back
Top Bottom