GDP figures za Kenya zinakuwa released leo

Agriculture is now only 21 % of Kenya"s economy down from 32% in the previous rebasing. Kenya inaanza kuwachana na mambo ya ukulima. Wacha malazy waendelee kutuuzia chakula cheaply sisi tukifanya more important work.
 
Nangoja kusikia Gdp figures za Kenya. Nasikia kwamba GDP ya Kenya imekuwa rebased na kwa hivyo size ya GDP itaongezeka significantly.

Kaeni mkao wa kula habari ikitoka nitapost humu.

This time around the figures will come out $150bn kuongeza wigo wa mikopo ya wazungu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ground sasa, Njaa.
 
This time around the figures will come out $150bn kuongeza wigo wa mikopo ya wazungu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ground sasa, Njaa.

It will be official, economy of Kenya will be more than twice that of Tanzania......poleni...hehehehe
 
Agriculture is now only 21 % of Kenya"s economy down from 32% in the previous rebasing. Kenya inaanza kuwachana na mambo ya ukulima. Wacha malazy waendelee kutuuzia chakula cheaply sisi tukifanya more important work.
Inaachana na kilimo wakati Rais wenu katangaza Kunyaland ni taifa la njaa?

Halafu unaweza kuta wewe upo office prime sana umebeba dhamana ya wakunya wenzio, ndio maana hamnaga akili

Marekani na China zinaongoza duniani karibu katika kila aina ya zao, ninyi mnaokufa njaa mnasema kilimo ni uzamani utafkiri mnaweza hata kutengeneza opener!
 
Hahaha umetoa povu sana sijui kwa nini. Kilimo ni asilimia ndogo sana ya uchumi wa Marekani na Uchina. Kilimo ni asilimia chini ya tano (5%) ya uchumi wa nchi zilizoendelea. Sisi tunaelekea huko, nyinyi bakini nyuma tu.
 
Largest contributor in us economy is 13% in gdp with 1.8 trillion , kwa akili yako finyu 5% with 1.2 trillion ni ndogo?

Na toka lini nchi jangwa na fukara kama Kunyaland nchi ambayo mpaka kesho raia wake wanakufa kwa njaa ikajiweka level 1 na Marekani?

Ila aliewanyima akili ninyi aliwaweza sana
 
Nimesema agriculture ni less than 5% ya US Gdp. Ni nini ngumu kuelewa hapo???
 
Hao ndio wakunya, Sasa umeamza kuwajua vizuri,[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimesema agriculture ni less than 5% ya US Gdp. Ni nini ngumu kuelewa hapo???
Huna akili wewe mkunya, hivi unaanzaje kuongelea hunger stricken shithole kwenye sentence 1 na worlds superpower?

Hahaha umetoa povu sana sijui kwa nini. Kilimo ni asilimia ndogo sana ya uchumi wa Marekani na Uchina. Kilimo ni asilimia chini ya tano (5%) ya uchumi wa nchi zilizoendelea. Sisi tunaelekea huko, nyinyi bakini nyuma tu.
Hiyo 5% inawatosheleza kwa chakula na ziada wanatoa misaada ya vyakula kwenda failed states [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…