GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020.
========================
Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi.

Pato la Taifa la China (1960-2025):

1. 1960: $59.72 bilioni

2. 1965: $70.25 bilioni

3. 1970: $92.60 bilioni

4. 1975: $163.69 bilioni

5. 1980: $191.15 bilioni

6. 1985: $309.98 bilioni

7. 1990: $361.06 bilioni

8. 1995: $734.99 bilioni

9. 2000: $1,211.33 bilioni

10. 2005: $2,286.84 bilioni

11. 2010: $6,087.19 bilioni

12. 2015: $11,061.63 bilioni

13. 2020: $14,722.73 bilioni

14. 2025 (makadirio): $19,677.00 bilioni

---

Pato la Taifa la Tanzania (1960-2025):

1. 1960: $1.03 bilioni

2. 1965: $1.32 bilioni

3. 1970: $1.75 bilioni

4. 1975: $3.05 bilioni

5. 1980: $3.98 bilioni

6. 1985: $5.57 bilioni

7. 1990: $7.34 bilioni

8. 1995: $9.79 bilioni

9. 2000: $12.62 bilioni

10. 2005: $16.45 bilioni

11. 2010: $24.43 bilioni

12. 2015: $45.93 bilioni

13. 2020: $64.00 bilioni

14. 2025 (makadirio): $93.18 bilioni (kadiri la IMF)

NOTE:Tukumbuke kuwa wachina wameanza kuja juzi kuingiza uchimbaji wao kwetu.
 
Weka GDP Per Capita - Enzi hizo population yao bado zaidi ya watu 500M, huwezi kulinganisha statistics za nominal GDP kwa namna hiyo.

GDP per capita ndio inaeleza ukweli
Population sio ya kuitaja mwanzo ivyo. Population ni point ya 56 kule
 
yani hata tungefikia kidogo kuzidi mwaka fulani yani tupo nyuma tukiweka bajeti ya maji tukitegemea mvua.
Bongo hakuna entrepreneurs ( wajasiriamali) kama ilivyo uchinani
Usitegemee maajabu
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Nchi yenye population ya 1.4 B unalinganisha na kanchi chenye population haifiki hata Million 70
 
Nchi yenye population ya 1.4 B unalinganisha na kanchi chenye population haifiki hata Million 70
Tofautisha madini na wakosa makazi.Haya sasa hiyo milion 70 mpaka leo shule na maji mumeweza
 
Nchi yenye population ya 1.4 B unalinganisha na kanchi chenye population haifiki hata Million 70
Abdul ameajiri vilaza sana ,Kwahiyo watu wakiwa wengi na GDP inakuwa kubwa? kama China ina 1.4B na USA ina 342m kwahiyo DGP ya China imeizidi USA kwakuwa China ina watu wengi?

Sweden ina population ya around 10m people na sisi tuna around 60m+ kwahiyo kwakuwa sisi ni wengi tumewazidi GDP?
 
We jamaa Abdul amemuajiri nani??

Nani kaongelea GDP ya China vs USA mbona unanilisha maneno yako mkuu?

Kwenye Uchumi niko nondo usinichukulie poa ujue
 
Idad ya watu sio kipimo
Israeli ina watu 10m Gdp usd 500 billion
Tz 60m bongo ndio kama ivyo?

Na Israeli yupo vitani miaka yote

Bongo shida ni medulla
Factor mojawapo iliyoifanya GDP ya China kuizidi ya Tz ni population sasa unataka kubisha nini mkuu?
 
We jamaa Abdul amemuajiri nani??

Nani kaongelea GDP ya China vs USA mbona unanilisha maneno yako mkuu?

Kwenye Uchumi niko nondo usinichukulie poa ujue
Unamkana Mwajiri wako? Nasisitiza mwambie awawekeeni NSSF ili ikifika 2030 Mama yake akiachia ngazi mnakuwa na mitaji ya kuanzia maisha.

Wewe si umesema kwamba China DGP yao kubwa kuliko TZ ni sababu China ina watu wengi compared na TZ? Ndiyo maana nikakuuliza kumbe ukiwa na watu wengi GDP inakuwa kubwa? Unajua factors kubwa zinazochangia GDP ya taifa?
 
Population ni factor mojawapo tena muhimu sana kuzingatia
 
Mwambie Mwalimu wako wa uchumi arudi shule tena.

Ingekuwa Population ni kigezo cha kuwa na GDP kubwa basi TZ ingeizidi mbali sana Sweden.
Kuna factors nyingi zinazoinfluence GDP na mojawapo population growth

Nchi yenye high population inaweza ikawa na high GDP

Lakini sio lazima kila nchi yenye high population kuwa na high GDP

Kwenye case ya Tz na China sababu mojawapo ya kwanini wametupita kwenye GDP ni idadi ya watu
 
Back
Top Bottom