Population sio ya kuitaja mwanzo ivyo. Population ni point ya 56 kuleWeka GDP Per Capita - Enzi hizo population yao bado zaidi ya watu 500M, huwezi kulinganisha statistics za nominal GDP kwa namna hiyo.
GDP per capita ndio inaeleza ukweli
Kwa tamati yao hii ni kama dunia kuna nchi 2, China na Tanzania.NOTE:Tukumbuke kuwa wachina wameanza kuja juzi kuingiza uchimbaji wao kwetu.
Bongo hakuna entrepreneurs ( wajasiriamali) kama ilivyo uchinaniyani hata tungefikia kidogo kuzidi mwaka fulani yani tupo nyuma tukiweka bajeti ya maji tukitegemea mvua.
Idad ya watu sio kipimoNchi yenye population ya 1.4 B unalinganisha na kanchi chenye population haifiki hata Million 70
Abdul ameajiri vilaza sana ,Kwahiyo watu wakiwa wengi na GDP inakuwa kubwa? kama China ina 1.4B na USA ina 342m kwahiyo DGP ya China imeizidi USA kwakuwa China ina watu wengi?Nchi yenye population ya 1.4 B unalinganisha na kanchi chenye population haifiki hata Million 70
We jamaa Abdul amemuajiri nani??Abdul ameajiri vilaza sana ,Kwahiyo watu wakiwa wengi na GDP inakuwa kubwa? kama China ina 1.4B na USA ina 342m kwahiyo DGP ya China imeizidi USA kwakuwa China ina watu wengi?
Sweden ina population ya around 10m people na sisi tuna around 60m+ kwahiyo kwakuwa sisi ni wengi tumewazidi GDP?
Factor mojawapo iliyoifanya GDP ya China kuizidi ya Tz ni population sasa unataka kubisha nini mkuu?Idad ya watu sio kipimo
Israeli ina watu 10m Gdp usd 500 billion
Tz 60m bongo ndio kama ivyo?
Na Israeli yupo vitani miaka yote
Bongo shida ni medulla
Wewe kwani sio Mtanzania mkuu? Mbona kama mpira umetuachia sisi 😅Tofautisha madini na wakosa makazi.Haya sasa hiyo milion 70 mpaka leo shule na maji mumeweza
Unamkana Mwajiri wako? Nasisitiza mwambie awawekeeni NSSF ili ikifika 2030 Mama yake akiachia ngazi mnakuwa na mitaji ya kuanzia maisha.We jamaa Abdul amemuajiri nani??
Nani kaongelea GDP ya China vs USA mbona unanilisha maneno yako mkuu?
Kwenye Uchumi niko nondo usinichukulie poa ujue
Population ni factor mojawapo tena muhimu sana kuzingatiaUnamkana Mwajiri wako? Nasisitiza mwambie awawekeeni NSSF ili ikifika 2030 Mama yake akiachia ngazi mnakuwa na mitaji ya kuanzia maisha.
Wewe si umesema kwamba China DGP yao kubwa kuliko TZ ni sababu China ina watu wengi compared na TZ? Ndiyo maana nikakuuliza kumbe ukiwa na watu wengi GDP inakuwa kubwa? Unajua factors kubwa zinazochangia GDP ya taifa?
Mwambie Mwalimu wako wa uchumi arudi shule tena.Population ni factor mojawapo tena muhimu sana kuzingatia
Kuna factors nyingi zinazoinfluence GDP na mojawapo population growthMwambie Mwalimu wako wa uchumi arudi shule tena.
Ingekuwa Population ni kigezo cha kuwa na GDP kubwa basi TZ ingeizidi mbali sana Sweden.