GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

Factor mojawapo iliyoifanya GDP ya China kuizidi ya Tz ni population sasa unataka kubisha nini mkuu?
2024
Israeli:
watu 10m
GDP 500 billion

TANZANIA

Watu 60m
GDP 78 billion

Na Israeli yupo vitani miaka yote
Na meter square za Israeli zinarandana na za mkoa wa morogoro

Haya niambie hapo Israeli imetuzidi kwa sababu gani?
 
Ni wazi taifa haliendelei yote ni kwasababu watu wanamadesa na kufundishana notice za 1800s wanafundishwa hadi leo.

Kati ya Population na Entrepreneurship kipi unazani yaweza kuwa sababu major kwenye Uchumi wa sasa?
 
2024
Israeli:
watu 10m
GDP 500 billion

TANZANIA

Watu 60m
GDP 78 billion

Na Israeli yupo vitani miaka yote
Na meter square za Israeli zinarandana na za mkoa wa morogoro

Haya niambie hapo Israeli imetuzidi kwa sababu gani?
Ndo umeandika nini hapa hebu soma tena
 
Wanaosema Tanzania ilikuwa sasa na China miaka ya 70 walikuwa wakitumia data gani?
 
Aiseee kweli Elimu muhimu sana na Ndiyo maana Edward Ngoyai Lowasa vipaumbele vyake cha kwanza mpaka cha tatu vilikuwa Elimu ,aliona mbali kwamba kuna MABUMUNDA Mengi sana TZ.

Yaani unajichanganya sana....Hakuna nchi ambayo haina watu ,kila nchi ina watu kwahiyo siyo kigezo hicho ,ingekuwa watu ndiyo wanaofanya GDP iwe kubwa basi INDIA ingeongoza.
 
We jamaa huelewi wapi?

Mbona iko wazi sana hii unajifanya haujui role ya population kwenye economic growth

Haujui kuwa watu wanavyozidi kuwa wengi na ndo Consumption na Gvt expenditure vinaongezeka

Haujui kuwa idadi ya watu inavyozidi na ndivyo uzalishaji nao unazidi kuwa mkubwa
 
Unazidi kujichanga ,ndiyo maana nikakwambia kama kigezo ni watu kama unavyosema basi india ingeongoza kwasababu ina watu wengi na pia tambua hakuna nchi ambayo haina watu.

rudi shule ukasome basics za economics.
 
Unabishana na magroup ya whatsapp wana CCM .Hata wanacho kujibu mpaka admin aje kutoa muongozo
 
Unabishana na magroup ya whatsapp wana CCM .Hata wanacho kujibu mpaka admin aje kutoa muongozo
Shukrani mkuu ngoja niachane nalo maana naona lipo empty ,majibu yake linajichanganya sana.
 
Reactions: Fbn
Unazidi kujichanga ,ndiyo maana nikakwambia kama kigezo ni watu kama unavyosema basi india ingeongoza kwasababu ina watu wengi na pia tambua hakuna nchi ambayo haina watu.

rudi shule ukasome basics za economics.
Wewe mkuu ndo inabidi urudi ukasome basics za economics

Mana nilishakwambia hapo nyuma kuwa kwamba sio wakati wote idadi ya watu kuwa kubwa basi itapelekea GDP nayo kuwa kubwa

Lakini tunapoongelea factor ya ukuaji wa GDP, population nayo ni muhimu sana

exceptional hizo zipo ndo maana kwenye uchumi huwa tunatumia Ceteris Paribus
 
Unabishana na magroup ya whatsapp wana CCM .Hata wanacho kujibu mpaka admin aje kutoa muongozo
Mambo ya CCM yamekujaje hapa hadi karne hii bado mnaendekeza hizi mambo tu?
 
Sio population ya kuongozwa na CCM, hata muwe bilioni 10 GDP itakuwa negative tuu
 
Mana nilishakwambia hapo nyuma kuwa kwamba sio wakati wote idadi ya watu kuwa kubwa basi itapelekea GDP nayo kuwa kubwa
Wewe si huijui Sababu ya wakati wote, basi jua Sababu ya wakati wote ni Entrepreneurship
 
Mabeberu wanatuonea wivu, uchumi wetu upo juu sana,wanataka kuvuruga amani yetu, Linda amani achana na GDP, cha msingi amani, tukiongelea maendeleo ya wananchi na utawala wa sheria tutakua tunavunja amani ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…