GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,559
Reaction score
3,586

View: https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC
Amesema haya:

1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa

2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo

3. Ameshauri way forward ili kuepusha maafa zaidi, kwamba watoke watu wenye ushawishi waseme na kuwatuliza vijana

4. Amekataa kabisa kuwa Rais hana legitimacy kusema kitu mpaka hapa tulipo na vijana wakamsikiliza na kutulia. Ni kwa sbb huyu ndiye wasiyemtaka, haiwezekani wasiyemtaka atlkasema kitu na vijana wakamwelewa

5. Amesema wapo wanasiasa very influential ambao sauti zao sikisika, zitawatuliza vijana. Kawataja watu hao wa kwanza akiwa ni Tundu Lissu, Josephat Gwajima

6. Alipoulizwa kuhusu Rais Samia kama vijana wanaweza kumsikiliza, Ansbert Ngurumo amesema hana uhalali na hawatamwelewa wala kumsikiliza kwa sababu ndiye wanayemkataa na kumpinga yeye na serikali

NOTE: Kwa habari zaidi, sikiliza hivyo audio video clip ya DW wakimhoji mwandishi huyo ambaye anaishi uhamishoni Uingereza
 
Hapana hatuhitaji kutulizwa tutatulia wenyewe mission yetu ikikamilika
 
Back
Top Bottom