Gea Habibu vs Dida Shaibu

Gea Habibu vs Dida Shaibu

lastfadh

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
26
Reaction score
2
GEA.jpg
didaX - Copy.JPG
GEA.jpg
didaX - Copy.JPG
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi eti kati ya hawa watangazaji wawili nani MKALI? wote Wanafanya vipindi vya aina moja japo redio tofauti GEA HABIBU wa CLOUDS FM na DIDA SHAIBU wa TIMES FM
na vp kuhusu maelewano yao? zamni nilikuwa nikimsikia Gea akimrusha dida lkn cku hizi hakuna
 
Gea ni jembe, anafichua uozo kibao wa jamii kupitia heka heka, ni kazi inayohitaji ujasiri wa hali ya juu, na tunajifunza mengi yaliyofichika uswazi kuanzia ngazi za kifamilia hadi jamii kwa ujumla, ukatili uliokithiri kwa watoto, wasichana wa kazi, kuporomoka kwa maadili na mengine mengi tuu.

I like her.........

Big up sister.......
 
Avatar yako inakuonyesha ni mtu wa namna gani!
 
wote wamejikoboa na kuwe weupe kama mbuzi katoliki. hivyo ndo nnavyoweza kuwaelezea
 
Gea ni jembe, anafichua uozo kibao wa jamii kupitia heka heka, ni kazi inayohitaji ujasiri wa hali ya juu, na tunajifunza mengi yaliyofichika uswazi kuanzia ngazi za kifamilia hadi jamii kwa ujumla, ukatili uliokithiri kwa watoto, wasichana wa kazi, kuporomoka kwa maadili na mengine mengi tuu.

I like her........

Big up sister.......

Aaah Wapi!!!!! Amefichua uovu upi zaidi ya kuzungumzia mambo ya watu ya ndani mpaka some time kusikiliza nahisi aibu. Alafu wanawake wengine sijui wakoje? Utapelekaje matatizo yako ya familia leo tena kwenye hekaheka? Wanawasaidia nini zaidi ya kuyaanika tu mambo yenu na msaada hampati? Leo tena imegeuka mahakama isiyo kua na akimu.
 
manguli wa vipindi vya taarabu,
wote ni wambea tu
 
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi eti kati ya hawa watangazaji wawili nani MKALI? wote Wanafanya vipindi vya aina moja japo redio tofauti GEA HABIBU wa CLOUDS FM na DIDA SHAIBU wa TIMES FM
na vp kuhusu maelewano yao? zamni nilikuwa nikimsikia Gea akimrusha dida lkn cku hizi hakuna

hao woote mavi matupu...
Kiboko yao Shida Masamba wa TBC Taifa
 
kwa raha ze2 twajivinjar na gea habibu kwa raha zetu
anaitwa gea aka mama la umbeya,aunt dedey,mamaa wa pambeetyu
shosti yang na mieeee
 
dida wa mchops..dida wa g...dida wa eeeeeee aka mama wa kuangalia mikato ya chumba
 
dida yup;dida mbilikimo na mitind mikubwa km asia manyonyo;
yote mibonge mpk inaboa miziwa hiyo kujichubua mpk bas
 
Back
Top Bottom