lastfadh
Member
- Jul 26, 2013
- 26
- 2
na vp kuhusu maelewano yao? zamni nilikuwa nikimsikia Gea akimrusha dida lkn cku hizi hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nampa big up Gea napenda sana kipindi chake
Gea ni jembe, anafichua uozo kibao wa jamii kupitia heka heka, ni kazi inayohitaji ujasiri wa hali ya juu, na tunajifunza mengi yaliyofichika uswazi kuanzia ngazi za kifamilia hadi jamii kwa ujumla, ukatili uliokithiri kwa watoto, wasichana wa kazi, kuporomoka kwa maadili na mengine mengi tuu.
I like her........
Big up sister.......
manguli wa vipindi vya taarabu,
wote ni wambea tu
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi eti kati ya hawa watangazaji wawili nani MKALI? wote Wanafanya vipindi vya aina moja japo redio tofauti GEA HABIBU wa CLOUDS FM na DIDA SHAIBU wa TIMES FM
na vp kuhusu maelewano yao? zamni nilikuwa nikimsikia Gea akimrusha dida lkn cku hizi hakuna