Geita: Amchoma Mtoto kisu tumboni na kisha kujiua baada ya kugundua ana UKIMWI ila Mkewe hana

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki nyumbani kwa mama wa mtoto huyo Nyantorotoro.

Mwaibambe amesema chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya mwanaume huyo pamoja na mkewe kwenda hospitali kupima afya na kuonekana ameathirika huku mkewe akiwa mzima licha ya kuishi pamoja.

Amesema baada ya majibu walirudi nyumbani na kumtuma mkewe dukani kununua dawa na kisha yeye kufanya unyama huo. Kwa mujibu wa kamanda mtoto alipata majeraha makubwa na amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita.

Kamanda ameishauri jamii kutatua matatizo ya kifamilia kwa njia ya majadiliano badala ya kuchukua maamuzi ambayo ni dhambi na ni kinyume na haki za binadamu.

Mwananchi
 
Jamaa bana, kazingua sana asa mtoto tena wa kambo kufanya jaribio la kumuua, yaani mtoto alihusikaje baada ya yeye kupima nakukutwa damu yake inasoma mtandao wa H+?

Jamaa kazingua sana, alale mahala alipoandaliwa na Allah..
 
Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki nyumbani kwa mama wa mtoto huyo Nyantorotoro.

Mwaibambe amesema chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya mwanaume huyo pamoja na mkewe kwenda hospitali kupima afya na kuonekana ameathirika huku mkewe akiwa mzima licha ya kuishi pamoja.

Amesema baada ya majibu walirudi nyumbani na kumtuma mkewe dukani kununua dawa na kisha yeye kufanya unyama huo. Kwa mujibu wa kamanda mtoto alipata majeraha makubwa na amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita.

Kamanda ameishauri jamii kutatua matatizo ya kifamilia kwa njia ya majadiliano badala ya kuchukua maamuzi ambayo ni dhambi na ni kinyume na haki za binadamu.

Mwananchi
Aliugua ugonjwa wa akili.Nadhani ni failure ya councilors kabla ya kumpa majibu maasirika.

Nadhani walipa majibu kama ya vipimo vya malaria
 
Kwani marehemu mwenyewe nae anasemaje?
 
Aliugua ugonjwa wa akili.Nadhani ni failure ya councilors kabla ya kumpa majibu maasirika.

Nadhani walipa majibu kama ya vipimo vya malaria
Na hayo majibu waliyomlundika nayo bila counselling jamani..bila hata kumuambia kuna dawa?
 
Back
Top Bottom