GEITA: Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizohonga, amuua

GEITA: Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizohonga, amuua

Hivi mademu kwa nini wanapenda tu pesa lakini hawana uaminifu? ......demu unamthamini, tuseme unampa zawadi 5m. au unamnunulia ndinga ya kutembelea, baada ya mwezi tu nyodo zinaanza, hapo lazima wajiandae na maswahibu kama haya....
Wewe uliyepa hujioni ndiye mjinga? Kwani kumthamini mtu laizma umpe fedha au mali? Kama unaona umuhimu oa halafu avitumie mkiwa wote.
 
Hivi mademu kwa nini wanapenda tu pesa lakini hawana uaminifu? ......demu unamthamini, tuseme unampa zawadi 5m. au unamnunulia ndinga ya kutembelea, baada ya mwezi tu nyodo zinaanza, hapo lazima wajiandae na maswahibu kama haya....
Tafuta mwanamke achana na mademu.
 
Mapenzi ya kulazimishana ndio yanaishia kutiana hasara na makovu kibao..yote hayo yanini kama mtu hakutaki mwache aende.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Kinachowaponza hawa wanaowaua wapenzi wao ni hizi tambo za mitandaoni kuwa mwanamke akikuhadaa mtende
Njia nzuri kabisa ya kumtenda mwanamke ni kuachana naye. Amini nakuambia aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Mkiachana, kama makosa yalikuwa ni yako, hutaweza kujirekebisha bali utaendelea kukosea na hivyo maisha kuwa magumu. Na kama ni yeye alikuyekosea inakuwa hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom