Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Tuwe waaminifu wajameni, wengi naona wanamshambulia jamaa kwa maamuzi yake na kufurahia adhabu atayopewa lakini hatugusii huyu aliupoteza uhai wake walau hata hiyo jela jamaa anaendelea kuishi.
Tuwe waaminifu kama mtu huna hisia nae na unaona anajituma sana kwako na kuonyesha ana malengo na wewe bora umteme mapema tu. Ubaki na hao unaona ona kabisa hawana malengo na wewe wote ni wazee wa kupunguziana genye tu.
Unahongwa na mtu anaetafuta kwa mbinde na unaona kabisa jamaa kafall kwako bado unamlia vitu vyake kibwege kumbe waaala hayupo moyoni mwako. Muwege na kiasi kina dada, vifo hivi vinaepukika mkipunguza tamaa.