Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umewapa ushauri kuntu kabisa, wenye kuelewa wataelewa.Tuwe waaminifu wajameni, wengi naona wanamshambulia jamaa kwa maamuzi yake na kufurahia adhabu atayopewa lakini hatugusii huyu aliupoteza uhai wake walau hata hiyo jela jamaa anaendelea kuishi...
Ndo ivo na uyo jamaa ni vile tu kajiexpose mwenyewe, kuna uwezekano wapo wanaoua kimya kimya na hawakamatwi wala kushtukiwa.Umewapa ushauri kuntu kabisa, wenye kuelewa wataelewa......
Kuna jamaa wa eneo hilo nimemchekiNikiona hii mambo inafanyika huko mikoani unaweza kuta hela jamaa analalamika haifiki hata laki tano.
Huyo akakae na sabaya tu maana hafai kuwa sehemu ya jamii iliyostaharabika.
Wamezidi banaNdo ivo na uyo jamaa ni vile tu kajiexpose mwenyewe, kuna uwezekano wapo wanaoua kimya kimya na hawakamatwi wala kushtukiwa.
Tamaa mbaya sana aisee.
Jambo jingine linalowarahisishia polisi kudabua washamba ni hizi simu.Sasa amefaidika nini hapo? Angejipatia kadada kengine tu mtaani huko akafanyie katerero nako kamfinyie kwa ndani kuliko kwenda jela kizembe hivi
Umenichekesha kwenye majonziSasa amefaidika nini hapo? Angejipatia kadada kengine tu mtaani huko akafanyie katerero nako kamfinyie kwa ndani kuliko kwenda jela kizembe hivi
Hajitambui hiyo bwana, kwanini atumue simu yake kujitambuliaha kwa ndg za mfiwa? Na ingekua Mimi Wala nisingehangaika nae, napita kushoto tu, " TUISHINAO KWA AKILI' ingenitosha kunifariji.Jambo jingine linalowarahisishia polisi kudabua washamba ni hizi simu.
Ukiangalia habari ilivyoandikwa, ni kwamba madai ya vitisho, 'kikombozi' pamoja na taarifa za kuteka alikuwa akizitoa kwa njia ya simu.
Huyo mwanaume bonge la mshamba,alafu mbona kanda hiyo wanaume ni wadhaifu sana
Kitu kidogo wao wanaua wanawake...
Na nyie wanawake kuna la kujifunza hapo siyo kila mwanaume vyake huliwa!
Ova
Povu la nini!Acha upumbavu yule aliyeua mke wake huko Arumeru ni wa Kanda ile ?
Umasikini mbaya sanaKuna jamaa wa eneo hilo nimemcheki
Anasema mwamba alikua anadai Tsh 45,000 na simu ndogo ya tecno aliyomnunulia manzi
Jamaa mishe zake ni kuchoma mahindi ya miamia
Huwenda hawakuwa na pesa za kumlipa huyo muuwaji, hakuna mzazi asiye mpenda mtoto wake kwa amuache afe. Jua umasikini ni mbaya sanaLakini Wazazi wa binti,mnapigiwa simu kuwa binti yenu anadaiwa kutumia fedha za "mwanaume asiyempenda" mnakaa kimya(yaani mnapotezea tu wakati hali ya utafutaji ni ngumu)...
Haujakamilika labda kwa sababu wanataka kufanya uchunguzi wa kina kwa hiyo maiti. Mfano wajue kama ilinyongwa au iliteswa kabla ya kifo nk