Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa Serikali kutoka sekta ya madini kwenye mwaka huu wa fedha.