The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Makabidhiano hayo yamekuja baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita , Manjale Magambo kufanya ziara wilayani Nyangh”wale ya kukagua uhai wa Chama cha Mapinduzi , kuhamasisha vijana kushiriki katika Uchaguzi mkuu sambamba na kuwataka vijana kuchangamkia fursa za Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025