Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Jun 4, 2023 #1 Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 Jun 4, 2023 #2 Wanaojiunga ni wengi kuliko wanaotoka
Mrs Thabo Bester JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 3,145 Reaction score 7,921 Jun 4, 2023 #3 WAla sio pigo..kawaida tu alitoka ZZK sembuse hao vinyangalika
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 4, 2023 #4 Kaenda kupeleleza tu huyo kama mh Kambaya
Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 Jun 4, 2023 #5 Angehamia kijani ndo lingekuwa pigo
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jun 4, 2023 #6 Haya mambo ya fulani kuondoka, kisha kusema chama chenye mamilioni ya wanachama kimepata pigo ni ulevi tu.
Haya mambo ya fulani kuondoka, kisha kusema chama chenye mamilioni ya wanachama kimepata pigo ni ulevi tu.