Geita: Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma kujenga Kampasi yake Wilayani Chato

Why chato, zamani ilikuwa Bagamoyo. Mara gesi bagamoyo. Bandari Bagamoyo.

Ukweli kila zama na kitabu chake, baada ya hapo utashangaa inakuwa Mkuranga na walamba viatu wa wakati huo watakuja na justification zao.

Any way ila Mkulu alisema ni kujipendekeza kupeleka kila jambo chato.
 
Niliona Kwenye Baraza Langu La Mawaziri Ninaloliteua Lisikose Wazee, Nimemteua Captain Rtd, George Huruma Mkuchika. Kuwa Waziri Wa Utawala Bora


Huyu Mzee Haina Maana Awamu Iliyopita Alifanya Vizuri Sana, Laa!! Hashaa! Nataka Sasa Hivi Ukachape Kazi, Bora Ukosee Kwenye Kuamua Lakini Jambo Limefanyika
Siyo Kusitasita

πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Unafananishaje Arusha /Mirerani na Chatto kwenye kuchangia pato la taifa?
Ni mbingu na ardhi.

Na kama unadhani CCM ilishinda kihalali basi unahitaji msaada wa tiba ya akili.
Nenda kapimwe akili yako, Chato Ipo Geita. Unadhani mchango wa Geita kwa pato la Taifa ni mdogo?

Kwa mfumo wa nchi hii maendeleo hayapelekwi kwenye eneo kulingana na mchango wake kwa Taifa na ndio maana Arusha juzi hapa imepata 500 Bilioni za maji.

Kuna factors muhimu za kujenga hicho chuo Chato kanda ya Ziwa. Tatizo mnasumbuliwa na wivu wa kike na ukilaza.
 
Serikali isijenge tawi la chuo cha utumishi wa umma - kama inataka kuwasaidia watu ijenge tawi la chuo cha SUA (umuhimu wa kada hii ktk maendeleo ya kilimo ni mkubwa sana hasa kuchochea ukuaji wa sekta binafsi, uchumi, uwekezaji na huduma za kitafiti kwa wakulima)

Tusiharibu fedha za umma
 
Kingewekwa mwanza
 
Hicho chuo kwa nini kisijengwe Mwanza ambayo ni katikati ya kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita na Kagera? Huku kote ni kuipendelea Chato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…