Christopher Wallace JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,479 Reaction score 3,788 Dec 1, 2021 #1 Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,964 Reaction score 3,913 Dec 1, 2021 #2 Ni vizuri muahidiane hivyo ili mzungu azidi kuwafadhili. Ila kwa Simba leo mtacheua michembe yote mliyokula
Ni vizuri muahidiane hivyo ili mzungu azidi kuwafadhili. Ila kwa Simba leo mtacheua michembe yote mliyokula
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Dec 1, 2021 #3 Mamluki naona mnajiunga kwenye shuhuli ambayo sio yenu mnarudia kosa lile lile ambalo mlifanya jumapili
Mamluki naona mnajiunga kwenye shuhuli ambayo sio yenu mnarudia kosa lile lile ambalo mlifanya jumapili
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Dec 1, 2021 #4 kubwa jinga KOLO linakufa leo.
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 6,432 Reaction score 25,646 Dec 1, 2021 #5 Leo Geita mnakula si chini ya goli tano na hatushangilii Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Leo Geita mnakula si chini ya goli tano na hatushangilii Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Dec 1, 2021 #6 Utopolo ni Utopolo tu.kaeni mtulie muone bwana mandevu anavyofanya sensa leo.
Edrese Senior Member Joined Aug 9, 2020 Posts 141 Reaction score 143 Dec 1, 2021 #7 Kila La Heri Geita Gold
Pool Table JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 1,680 Reaction score 2,889 Dec 1, 2021 #8 Kama mko nao tukubaliane mapema simba akishinda waliofungwa ni geita gold+uto?
Ahmad Abdurahman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 3,251 Reaction score 6,299 Dec 1, 2021 #9 Mungu ibariki Geita gold 🥇
Ekuweme JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 3,520 Reaction score 3,962 Dec 1, 2021 #10 Hata Mbeya Kwanza jana waliahidi kutoka na ushindi dhidi ya Yanga
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Dec 1, 2021 #11 Renzo Barbera said: Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Click to expand... Sawa
Renzo Barbera said: Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Click to expand... Sawa