chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12
Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake
Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya
Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832
hiyo kampuni ni kubwa kwa afrika unaambiwa madini ualiyopo hapo south afrika inasubiri.
sema wanachota mpaka basi .
nimepata madili hapo na kuna pesa yani unaweza kupiga pesa mpaka ukajiuliza serikali hipo wapi