Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Kwanza jiulize Geita ina mashabiki wa kuwachangia?...pili simba ikitaka viwanja vya kuingiza watu elfu mbili Kama Geita hata kesho unajengwa kaka..MASHABIKI NI MTAJI BOSS Yanga igeni msione aibu na kuanza kuzunguka kuponda jitihada za simba kupata uwanja wao kupitia sisi mashabiki wake..tatu huo uwanja wa geita nna imani hauufikii hata nusu kwa ubora UWANJA WA MAZOEZI WA SIMBA KULE BUNJU so tulizeni mishono Wana Yanga Simba ni taasisi kubwa msitulinganishe na vitu vya ajabu
 
Mm sio yanga mkuu.....ila ni mdau wa soka
 
Uwanja wa Geita utakua wa nyasi bandia
 
Yah mkuu....lkn hawajatangaza kuwa wachangiwe na mashabiki
Kwani kuchangiwa na mashabiki ni kosa? By the way tukiondoa unafiki, unmadhani Geita Gold itakuwa na mashabiki wangapi nchi nzima hata kama wangetaka wachangiwe?
 
Kwani kuchangiwa na mashabiki ni kosa? By the way tukiondoa unafiki, unmadhani Geita Gold itakuwa na mashabiki wangapi nchi nzima hata kama wangetaka wachangiwe?
Kuhusu kuchangisha.....sio lazma uwe na watu wengi ni just tu maamuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…