Naona waliingia kwa kasi ila kama wametepeta mapema...may be fund maana si unajua tena wanasiasa hupenda kutumia fedha za wengine sio za mfukoni mwao. Akitoa ya mfukoni mwake ujue ameshapiga hesabu ya kupata zaidi ya ileCHAUMMA umelala Sana. Ilitakiwa Sasa hivi wawe mitaani wazoeleke.
Je ?kuna wakala wa hapana?Kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, HAKUNA kupita bila kupingwa, bali zitapigwa kura za NDIY na HAPANA. Za HAPANA zikiwa nyingi kuliko za NDIYo uchaguzi utarudiwa.