Geita: Kenani Kihongosi ahamasisha Vijana kujitokeza katika Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

Geita: Kenani Kihongosi ahamasisha Vijana kujitokeza katika Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
UVCCM TAIFA
16.07.2022

HISTORIA IMEANDIKWA WILAYA YA GEITA YASIMAMA

Katibu Mkuu wa UVCCM TAIFA Ndugu Kenani Kihongosi akiwa Wilaya ya Geita(Katoro) Mkoa wa Geita Kuhamasisha Vijana Katika Zoezi la Sensa ya Watu na makazi amesisitiza vijana kujitokeza Tarehe23.8.2022.

Pia amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ya Kugusa maisha ya watanzania na kupunguza mzigo katika elimu baada ya kuwaondolea Ada wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita.

#2022JiandaeKuhesabiwa
#AlipoMamaVijanaTupo
#ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#KaziIendelee

IMG-20220718-WA0183.jpg
IMG-20220718-WA0115.jpg
 
Mwinyi akichaguliwa kuwa rais ,nasema kama Mwinyi atafanikiwa kuwa rais wa Zanzibar hiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtaiona Zanzibar itakavyopaa kwa maendeleo--- Alisikika Magufuli
 
Back
Top Bottom